Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
kwa mujibu wa choice fm kunameli inawaka moto wenye taalifa mtujuze zaid
inasemekana kuna meli itafika punde kwaajili ya uzimaji moto,lakini nasikia hadi sasa hakuna aliyepoteza maisha isipokua mizigo inaendelea kuteketea kwanik ni meli ya mizigo ni mwongoni mwa zile zinazo paki kwenye maji ya kina kirefuzimamoto wameenda au wapo hapo hapo bandarini
zivuje mara 2nasikia bandarini wamezuia waandishi wa habari kuingia kwaajir ya kuzuia taarifa kuvuja
Habari rasmi kutoka Zanzibar, zinasema kuwa meli moja ndogo ya mizigo inawaka moto
Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo, amenieleza meli hiyo MV AL NAIM, ipo nangani bila kufanyakazi kwa muda mrefu sasa
Ni ya mtoto wa Ghadafi haijafanya kazi tangu mwenyewe alipokamatwa inawezekana imechomwa na watu wa NTC