NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,063
- 288
Bahari imechafu wavuvi kaeni chojo.
kumbe yale maneno ni kuzika au kifo basi hawe na subira kabla ya kuyatoa..hakuna mtu aiyekufa..
Pole sana maana umegundua kuwa uko targeted kuwa marehemu mtarajiwa kwa kafara za wanasiasa....... ' Hakuna uchawi wala uganga juu ya wanaomwanini YESU KRISTO' karibu sana shemeji yangu 'mzee wa rubisi katika ufalme wa uzima.......huku kiu ya rubisi itakoma utakunywa maji ya uzima'
Nimekuvumilia sana..
Inna Lillahi wainna Illaihi Rajihunna
hakuna mtu aiyekufa..
<br /><font color="#800000">Hapo kwenye red Mkuu tumekosa viongozi wenye akili timamu.</font>
Ungesoma between lines ungeona aliyesema (niliyemjibu) ' tutakufa mwaka huu' alidai kuwa ni mwaka wa kafara kwa ajili miaka hamsini ya uhuru .....NASISITIZA WANAOMWAMINI YESU KRISTO HAWATAKUFA KWA KAFARA KWA VYOVYOTE VILE' wasiomwamini kazi kwao......
mix with yours
inasadikika M.KA.PA NI FREEMASONS ndo mana enzi za utawala wake kulitokea ajali nyingi sn za majini, nch kavu, ajali za moto kwenye mashule na watu wengi sn walipoteza maisha, hy ilikua KAFARA kutimiza sharia za chama chake, JE NA HUYU AMIRI JESHI WA SASA NAYE NI FREEMASON? MANA AJALI ZINAZOTOA ROHO ZA WATU ZINATOKEA KILA KUKICHA,
Mods inabidi muanzishe Jukwaa la Ajali na Maafa.