Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Labda inahitajika KAFARA..Dah mbona inasikitisha hivi........majini na nchi kavu matatizo
Angani ndege zinashindwa kutua kisa umeme hakuna kila mahali matatizo!
Labda inahitajika KAFARA..Dah mbona inasikitisha hivi........majini na nchi kavu matatizo
Angani ndege zinashindwa kutua kisa umeme hakuna kila mahali matatizo!
duh...hali ya bahari vipi wadau
Mwaka huu!!!!!! Tuombe MUNGU..
tutaisha mwaka huu...hii miaka 50 ya uhuru tunatoana kafara tu...thanks for updates.
hakuna mtu aiyekufa..Inna Lillahi wainna Illaihi Rajihunna
Hii ni hatari kwelikweli! Vyei sita vya juu vya SUMATRA walipaswa kujiuzuru mara moja kupisha wao wenyewew kuchunguzwa utendaji wao wa kazi!Tusishangae,tushangae UBORA WA MELI
Zizame zote lakini zisiue ili tuanze upya na meli zenye unafuu, najua kununua mpya hata serikali haiwezi.
Mkuu mbona matambiko mengi tu!! Baharini huko Zanzibar na Tanga, jana tumesikia nchi kavu huko Morogoro bado Reli tumalize mzunguko wa SUMATRA . Nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa!!ina
wezekana imechafuka au haijakaa sawa mkuu au bahari inajifanyia matambiko
ok boti..soma vizuri bandiko langu nimeandika meli/boti siana mda wa kuanza kuchambua wewe jua tu kuna chombo cha baharini kimezama hata kama kimebeba mtu mmoja lakini ni roho za watu kimebeba ..hizi roho zenu mbaya na dharau zitawaua ..nakujua sana wewe ndio Lundega