Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

Mkuu hii imekaaje kwa Jeshi la Kenya kufanya mazoezi na mahasimu wawili wakubwa duniani? Marekani na Urusi? Haitawaudhi Wamarekani hivyo wataamua kutofanya tena mazoezi na jeshi lenu?
Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone.

Brahmos cruise missile

Brahmos cruise missile

INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27

TWITTER

INS Talwar, classified as one of the most advanced Russian-built warships, landed in Mombasa in order to conduct maritime security exercises alongside the Kenya Defence Forces (KDF).

The security exercises are aimed at assessing and improving the region's maritime security operations as well as increase interoperability among the navies within the East African region.

It is slated to conclude on Friday, August 6.
The exercise will involve participation from the USA, UK, India and international organisations such as Interpol, International Maritime Organisation (IMO), United Nations Office on Drugs and Crime (UNODC), European Union Naval Force (EUNAVFOR), and EUCAP Somalia.

During its stay, the ship will serve as host to a number of events to build stronger bridges of friendships with Kenya and the international community.

Features
The high-tech warship was originally built for the Russian army but the Talwar vessel was among the class III frigates commissioned to the Indian Navy after the Indian government inked a Ksh250 billion deal with Russia.

It incorporates stealth technologies whereby the topside and hull sections are designed to reduce detection from other ships in its radar.

The ship is also fitted with BrahMos Cruise Missiles- regarded as the fastest supersonic missile in the world. The missiles use active radar guidance with a maximum range of 220 kilometers.

The ship is also fitted with a medium-range surface-to-air missile system which is ideal to counter threats on land.

The system has a total of 24 missiles accommodated in a magazine located below deck. These types of missiles have a range of 45 kilometers and use inertial guidance and semi-active radar guidance.

  • The vessel’s main gun is a forward-fitted AK-190. Its design incorporates stealth technology to reduce the radar signature of the ship. The gun has a firing rate of 60 rounds a minute and can engage targets within a range of 15.2 kilometers.
    The Talwar vessel also has a close-in weapon system. This includes two close-range guns and surface-to-air missile clusters.
    It is also fitted with a control system that involves full-color operator workstations and three central servers. The system manages and controls all weapons on board, develops combat missions depending on the situation.
    Other systems incorporated in the vessel include countermeasure systems and Anti-submarine warfare technologies.

    FILE
 
Hilo kombora mbona lina bendera ya Iran?

vv
 
Una generalize issue ya mtu mmoja papaa, punguza pressure,breath deeply and then relax

Jana kuna mwingine katia kiberiti, utakua uko nyuma na taarifa za nchi yako, kwanza anasema alijua jamaa yuko ndani, bahati kumbe hakua nyumbani, halaafu mademu kwenye social media wamechangamkia balaa, wanasifia na kusema ndio dawa.
 
Mkuu hii imekaaje kwa Jeshi la Kenya kufanya mazoezi na mahasimu wawili wakubwa duniani? Marekani na Urusi? Haitawaudhi Wamarekani hivyo wataamua kutofanya tena mazoezi na jeshi lenu?

Hehehe!! Sisi hatujali maugomvi yao huko, kila mmoja aje tujifunze kitu kwake, wanatunishiana misuli sana hawa....huyu akifanya mwenzake naye anataka aje afanye zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijawahi kuona Taifa lolote duniani likifanya mazoezi ya kijeshi na hizo nchi mbili. Ngoja tuone kama Wanyamwezi watatia mguu tena kwa ajili ya TIZI. Ná hapo kwenu si walitaka kujenga kituo chao kikubwa cha kijeshi katika Africa? Au watajenga Djibouti?
Hehehe!! Sisi hatujali maugomvi yao huko, kila mmoja aje tujifunze kitu kwake, wanatunishiana misuli sana hawa....huyu akifanya mwenzake naye anataka aje afanye zaidi.
 
Jana kuna mwingine katia kiberiti, utakua uko nyuma na taarifa za nchi yako, kwanza anasema alijua jamaa yuko ndani, bahati kumbe hakua nyumbani, halaafu mademu kwenye social media wamechangamkia balaa, wanasifia na kusema ndio dawa.
Yaani Badala ya kuitafutie familia yangu maisha mazuri ,niwe busy u tube kuona watu wanachomana moto.niko current na matukio yanayogusa nchi sio ya magazeti ya udaku.In short natumia mda mwingi kazini mkuu ,Tukio nililolifahamu ni lile la neema kumchoma mpenziwe na petrol
Hongera pia kuwa current na Matukio ya Bongo mi huwa napita tu juu juu nakutana na yaliyo trend Sana mtandaoni
 
Wajameni mabishano yanini?? Mmeambiwa hayo ni mazoezi tuu sasa msianze kutunishiana misur na kuanza kubisha kwa mambo yakipuuz,,afrika kama afrika kiasiri hatuhitaji hayo madude yao mazito kwaajil ya vita, maana sis si watu wa vita lkn hao watu weupe ndyo wavurugaj wa amani ya dunia hii that's why wako bize usiku na mchna kubuni siraha, na hizo siraha matumizi yake na target zake ni mtu, na mtu mwenyew ni wew mtu mweusi, ambapo , siku ukajifanya kufurukuta kutoka ktk chains zao za ukolon mambo leo, bas wataztumia kukuangamiza,kukuchonganisha na jiran yako, hao wafanyayo ni kuunda kambi ktk nchi za kiafrika,il kusogeza siraha zao na connection zao baran afrika...achen kubaguana eny wapuuz
 
Point hiyo kabisa kaka maana sijaelewa huyu mkenya anamaana gani kujivunia jambo kama hilo, mimi kwa upande wangu ningepinga jambo kama hilo lifanyike tz
 
Jiwe gizani wa kwanza kung'aka.....na mtakoma.
Halafu nini Bongo mbona mnatiwa viberiti na mademu wenu, shughuli za vitandani zimewashinda wanaume wa Dar.
Ww jamaa huwa ni mjinga sana!
wana apolo tutakupiga tik taka....
 
Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone.

Brahmos cruise missile

Brahmos cruise missile

INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27

INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27
TWITTER

INS Talwar, classified as one of the most advanced Russian-built warships, landed in Mombasa in order to conduct maritime security exercises alongside the Kenya Defence Forces (KDF).

The security exercises are aimed at assessing and improving the region's maritime security operations as well as increase interoperability among the navies within the East African region.

It is slated to conclude on Friday, August 6.
The exercise will involve participation from the USA, UK, India and international organisations such as Interpol, International Maritime Organisation (IMO), United Nations Office on Drugs and Crime (UNODC), European Union Naval Force (EUNAVFOR), and EUCAP Somalia.

During its stay, the ship will serve as host to a number of events to build stronger bridges of friendships with Kenya and the international community.

Features
The high-tech warship was originally built for the Russian army but the Talwar vessel was among the class III frigates commissioned to the Indian Navy after the Indian government inked a Ksh250 billion deal with Russia.

It incorporates stealth technologies whereby the topside and hull sections are designed to reduce detection from other ships in its radar.

The ship is also fitted with BrahMos Cruise Missiles- regarded as the fastest supersonic missile in the world. The missiles use active radar guidance with a maximum range of 220 kilometers.

The ship is also fitted with a medium-range surface-to-air missile system which is ideal to counter threats on land.

The system has a total of 24 missiles accommodated in a magazine located below deck. These types of missiles have a range of 45 kilometers and use inertial guidance and semi-active radar guidance.

  • The vessel’s main gun is a forward-fitted AK-190. Its design incorporates stealth technology to reduce the radar signature of the ship. The gun has a firing rate of 60 rounds a minute and can engage targets within a range of 15.2 kilometers.
    The Talwar vessel also has a close-in weapon system. This includes two close-range guns and surface-to-air missile clusters.
    It is also fitted with a control system that involves full-color operator workstations and three central servers. The system manages and controls all weapons on board, develops combat missions depending on the situation.
    Other systems incorporated in the vessel include countermeasure systems and Anti-submarine warfare technologies.

    FILE

“Nyoko” samahan ndugu sioni kitu
 
U
Sisi hatuingii kwenye vita vya kijinga kama mlivyofanya Uganda miaka ile mpaka leo hamjapata nafuu kutokana na umaskini uliowakumba.
Ethiopia tunaishi nao poa maana soko lao tunalihitaji kwa sana tu, idadi yao ni zaidi ya watu milioni mia, tayari wameruhusu makampuni yetu yameingiza vichwa humo halafu bandari ya Lamu inazidi kujongea.
Makampuni yetu yametanua hadi DRC na kote, na hata hiyo Bongo ndio kabisa yaani...kwa kifupi ukanda huu wote tunazidi kuutia kwapani.
Usibishane cc mitanzania mkuu nchi letu ni la kipumbavu tunalijua wenyewe imagine tumetawaliwa na ma ccm mpaka leo mkuu Mimi ni Mtanzania Ila amini sisi ni mipumbavu.
 
MK254 sisi tungekuwa na akili ccm isingekuwepo Leo madarakani hivyo mkuu usipoteze nguvu kubishana na sisi watanzania vibwengo mbilikimo wa akili.
 
Mkuu hii imekaaje kwa Jeshi la Kenya kufanya mazoezi na mahasimu wawili wakubwa duniani? Marekani na Urusi? Haitawaudhi Wamarekani hivyo wataamua kutofanya tena mazoezi na jeshi lenu?
wapo TZ,chuo cha kunduchi hapo watakuwe kwa mwezi na nusu na meli zao za kivita ziko TZ hapo,na wabongo tunachukulia poa,kunyaland hawajielewi kitu kidogo kinachohusu mtu mweupe lazima iwe habari kubwa!
 
Hehehe!! Sisi hatujali maugomvi yao huko, kila mmoja aje tujifunze kitu kwake, wanatunishiana misuli sana hawa....huyu akifanya mwenzake naye anataka aje afanye zaidi.
Mmarekani yuko bongo kimya kimya,na atatrain na TZ navy ndani ya wiki 6 na wabongo wala aturingi

Screenshot_20210728-230618_Instagram.jpg
 
wapo TZ,chuo cha kunduchi hapo watakuwe kwa mwezi na nusu na meli zao za kivita ziko TZ hapo,na wabongo tunachukulia poa,kunyaland hawajielewi kitu kidogo kinachohusu mtu mweupe lazima iwe habari kubwa!

Hiyo ya Tz ni training tofauti , Lakini Excercise ya Cutlass Express 21 ya baharini Inayohusisha hizo meli zote inafanyika pwani ya Mombasa .. hii hapa taarifa kamili kutoka US navy.

-------------

The Multinational, Maritime Exercise Cutlass Express 21 Begins in Mombasa​

By U.S. Naval Forces Europe and Africa / U.S. Sixth Fleet Public Affairs
MOMBASA, Kenya – Maritime forces from East Africa, West Indian Ocean nations, Europe, North America, and several international organizations began the multinational maritime exercise Cutlass Express 2021 (CE21) with an opening ceremony held at the Bandari Maritime Academy in Mombasa, Kenya, July 26, 2021.

"Partnerships are the key to stability in Africa. Exercises like Cutlass Express bring like-minded partners together, spark discussion and collaboration, and help generate African-led solutions,” said Gen. Stephen Townsend, commander, U.S. Africa Command. “These partnerships allow us to better counter malign actors while improving security and prosperity on the continent."

CE 21, sponsored by U.S. Africa Command and led by U.S. Naval Forces Europe-Africa, U.S. Sixth Fleet, assesses and improves combined maritime law enforcement capacity, promotes national and regional security in East Africa, and increases interoperability between the U.S., African nations and international partners.

This year’s exercise leverages the recently adopted Jeddah Amendment to the Djibouti Code of Conduct, which 14 nations are signatories, as a framework for exercising information sharing practices and enforcing marine rule of law. The participating nations will be testing their ability to counter illicit trafficking, piracy, illegal fishing, as well as search and rescue situations.

“The Western Indian Ocean has been rife with many maritime challenges for a prolonged period of time due to the porous vast sea area,” said Brig. Thomas N. Nganga, Kenya Navy base commander, Mtongwe. “Through cooperation, sharing of information and combined training among the local bilateral and multilateral cooperation, there has been tremendous improvement in maritime security.”

The exercise will improve Maritime Domain Awareness (MDA), information sharing between Maritime Operation Centers (MOCs), maritime interdiction, adherence to the rule of law, and counter-proliferation interdiction capabilities in order to strengthen safety and security in East Africa.

The exercise begins with an in-port training period followed by at-sea scenarios and concludes with a senior leadership symposium. The underway portion of the exercise tests the ship’s abilities to conduct maritime interdiction operations (MIO) by boarding teams against simulated suspect vessels, detecting illicit activity, and follow-on evidence collection procedures.

The valuable operational experience gained during Cutlass Express contributes to participating countries ability to suppress and counter illegal activities, including piracy, arms trafficking, human smuggling, drug trafficking, and illegal trade in wildlife.

CE 21 is one of three U.S. Naval Forces Europe-Africa/U.S. Sixth Fleet -facilitated regional exercises undertaken to provide African forces and international partners with collaborative opportunities on comprehensive maritime security concerns.

Exercises like Cutlass Express in East Africa/Western Indian Ocean, Obangame Express in the Gulf of Guinea, and Phoenix Express in the Mediterranean fall under the international collaborative maritime capacity-building program Africa Partnership Station (APS) as part of a phased approach to building enduring relationships and combined capacity to ensure the safety and security of the regional maritime environment.

"We look forward to the start of Cutlass Express (CE21) as we strengthen our mil-mil relationships and continue to build regional partnerships," said U.S. Naval Forces Europe-Africa, Reserve Detachment 118 Commanding Officer, Capt. Cannon Neslen. "CE21 provides an increased opportunity to demonstrate interoperability among African, European, West Indian Ocean, and U.S. maritime forces and to improve combined maritime law enforcement capacity and maritime security."

Participating nations in Cutlass Express 2021 include Comoros, Djibouti, Georgia, India, Kenya, Madagascar, Mauritius, Mozambique, Rwanda, Seychelles, Somalia, Sudan, Tanzania, United Kingdom, and the United States.

U.S. Africa Command, headquartered in Stuttgart, Germany, is one of 11 U.S. Department of Defense combatant commands, each with a geographic or functional mission that provides command and control of military forces in peace and war.

AFRICOM employs the broad-reaching diplomacy, development, and defense approach to foster interagency efforts and help negate the drivers of conflict and extremism in Africa.

U.S. Naval Forces Europe-Africa, U.S. Sixth Fleet, headquartered in Naples, Italy, conducts the full spectrum of joint and naval operations, often in concert with allied and interagency partners in order to advance U.S. national interests and security and stability in Europe and Africa.
 
Hongereni kwa kuiona meli ya kisasa toka Kwa strong man Vladimir Putin.
Mjitahidi kuelewa mafunzo mpatayo toka mashariki.
Maana ya magharibi mmetoka empty pamoja na juhudi za USA na UK kuweka kambi za kuwafunda.
Al shabbab,wanawachapa watakavyo, Ethiopia nao wanawadungua wajisikiavyo.
Uganda wamechukua kisiwa mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom