Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

No it's not. Unasema Kenya ni dangerous... na pia ukasema tunahitaji kusaidiwa kwa ulinzi na chakula.....So what happens when there is no security and there is no food?..... Vifo kwa wingi... So inakuaje Watanzania wengi wanakufa kuliko wakenya licha ya nyinyi kua nchi ya amani tena yenye maziwa na asali.

No, I can't utter anything, coz you are talking without citing any authority.
 
Afadhali mfundishwe mbinu mpya za kivita, maana ni aibu wanajeshi kuliko mkapambane wakaishia kuiba biskuti kwenye mall na kukimbia
 
si lazima a cite authority pia anaeza tumia intuition yake, rational-inductive reasoning ama hata scientific empiricism.

🤣🤣🤣
Kuna hotuba aliwahi itoa mwal. Nyerere. Alisema utakuta mtu ameongea neno la kawaida kabisa kwa kiingereza, basi ataonekana wa maana sana.

Sasa wewe kabisa aje na intuition pamoja na reasoning yake ambayo iko biased. Tayari tumuitikie kuwa kaongea ukweli. Mimi scientific researcher, lazima aje na empirical evidence from the credible source. Otherwise unaongea kwa kujifurahisha.
 
Kama Kenya Ni Dangerous,Watanzania mngekuwa mshajuta,but God forbid,Kenya is a peacefull country not like Somalia,Na Watanzania msikae tu mkiombea Kenya kuharibike,Ikukuwa hivyo italeta majanga EastAfrica,If you know you know🤔
 
No, I can't utter anything, coz you are talking without citing any authority.

Utter away Life expectancy at birth, total (years) - Kenya, Tanzania | Data



1627737732178.png



1627737836653.png
 
Hiyo Brahmos cruise missile inahusiana nini na hiyo meli wakati sio sehemu ya armaments?
 
Back
Top Bottom