Meli ya Iran yachanganyikiwa na kufyatulia nyingine makombora na kuua wanajeshi 19 wa Iran

Screenshot_20200511-234652~2.png
 
Halafu hili jeshi Oga, Zembe, Lisilo na Weledi wa Kutumia Silaha za Kisasa linataka kujitanua kifua kupambana na USA !
Ndio maana wakijichanganya tu Hao US wanatunguliwa nahao wasio naweledi

Sent using My COVID-19
 
duuuhhh kwaiyo watoto wa ishamael ni wajapan?.

Ishamel ni Baba wa Waarabu ...

Hao wairan ni waajemi , ( origin yao sijui vzuri).

Gugo inaonyesha kuna wa Iran-wakurd ...wairan-waPersians.wairan-Azers .

Wewe Wa elewa nn kuhusu wairan Mkuu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Wairan waarabu pia, kuna wairan wa Pakistani (baluchi) pia Saudi Arabia kuna wa persia Eastern Saudi Arabia na Bahrain kwa kifupi jamii hizo za kiajemi zinaingiliana sana na siku hizi na waarabu hata muonekano wa sura ni vigumu kutofautisha ni lugha tu la lafudhi zina utafauti
 
Ukishamaliza kuruka ruka kama bisi WAIRAN sio WAARABU nahawatakuja kuwa WAARABU mpaka DUNIA inafikia TAMATI

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom