Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,060
- 4,844
Ever Given, the massive container ship blocking Egypt’s Suez Canal for nearly a week, has been partially refloated, the Suez Canal Authority (SCA) said, raising hopes the busy waterway will soon be reopened.
Monday’s move comes a week after the container ship ran aground in high winds, blocking one of the world’s busiest shipping lanes.
Source aljazeera.
========
Moja ya meli kubwa zaidi duniani ya Evergiven imeanza kuelea kwenye mfereji wa Suez Canal baada ya kukwama kwa takriban wiki sasa kufuatia juhudi zinazofanywa na mataifa kuiondoa meli hiyo ili kufungua njia hiyo kubwa zaidi duniani ya meli.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya Suez Canal, Osma Rabie amesema meli hiyo inaelea baada ya jitihada za kuivuta.
Ever Given inayobeba tani 224000 ilikwama Suez Canal March 23 huku sababu zilizzopelekea ajali hiyo kutokuwa wazi japokuwa kasi ya upepo, makosa ya kiufundi na kibinadamu yakitajwa. Juhudi kubwa za kuondoa mchanga nyuma na mbele ya meli hiyo zilianza
Pia soma>> Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu