Meli ndogo ya mizigo yazama kilwa masoko

Spanishboy

Senior Member
Apr 24, 2011
118
65
Mtu mmoja aliefahamika kwa Jina la Nice Mtega fundi mkuu wa Meli ndogo ya mizigo iitwayo MV MERCI II inayomilikiwa na Semuhungu Shingiro anahofiwa kufa maji baada ya kutoweka kwa zaidi ya masaa 36 toka kuzama kwa meli hiyo katika bandari ya Kilwa masoko.

Akiongea na Globu ya Jamii hii iliyofika katika eneo hilo, meneja wa Bandari ya Kilwa, Bw. Iddi Omary, alieleza kuwa Meli hiyo iliyofunga gati jana jioni ikitokea songosongo na kupakia tani 30 za mchanga na tani 30 za maji ilizama majira ya saa 6 usiku wa kuamkia leo ambapo Nahodha wa Meli hiyo Captain Charles Kalinga na wasaidizi wake 3 walifanikiwa kutoka ila Nice Mtega aliekuwepo ndani hajaonekana hadi sasa. Juhudi za kumtafuta na kuinua meli hiyo zinaendelea. Sababu ya kuzama kwake bado hazijajulikana

Meli hiyo ikiwa imezama majini katika gati la Kilwa Masoko
safari moja kwa pamoja: News Alert: Meli ndogo ya mizigo yazama kilwa masoko, mtu mmoja hajulikani aliko
 
[/QUOT

Kuna kipindi nilikua Kilwa kisiwa cha Songomnara ni kama mwendo wa saa limoja na nusu baharini kutoka K/Masoko. Aisee panatisha sana baharini. kila w'end tulikua na kawaida ya kurudi K/masoko na kugeuka songomnara kesho yake kwa kipindi cha wiki 8 mara zote ilikua balaa mara tukutane na papa, mara bote izime baharini, mara ichote maji. yaani presha mwanzo mwisho. mpk niliumwa mawazo nini kilinipeleka kule. aisee sitasahau kabisa cku moja wakati boti limezima katikati ya bahari linapigwa na wimbi na kutupeleka kwenye mkondo mrefu wa maji huku kila mtu anatetemeka tulipata taarifa bahari imechafuka na kuna wavuvi wamezama....cwezi malizia ila poleni mliopatwa na hayo majanga
 
Pole sana........ungeenda mara moja halafu usirudi tena........sasa wewe ulikuwa unarudia rudia.......
 
Back
Top Bottom