Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

Hiyo meli ni kubwa hawakufanya tafiti hapo mwanzo kuona kama inaweza kupita na mara nyingi meli kubwa huwa zinapita na escort na wazamiaji chini kuona kina cha maji kitaendana na ukubwa wa hiyo meli sasa hapo kati kutokana na meli nyingi kubwa kupita bila matatizo nadhani wakapunguza umakini huko baharini kuna mambo mengi ya ajabu kuhusu meli yasikie tu.
Fikiria meli ina urefu wa karibu nusu kilomita yaani zaidi ya viwanja vinne vya mpira wa miguu.Makontena inayobeba huenda ni idadi sawa na makontena yote yaliyopo bandarini Dar es salaam. Ndio maana hawataki wayateremshe,kwanza wanaangalia uwezekano wa kuendelea na safari.Sijui makonnena hayo yaliyakuwa yaanze kushuswa wapi.Bila shaka meli hiyo haijawahi kufika Dar es salaam na huenda ikipita pale kigamboni inaweza ikaleta balaa jengine.

Pamoja na umakini wote lakini hali ya hewa ya wiki mbili zilizopita ilichangia kuharibu kina cha maji kwani kimbunga cha mchanga kilijaza tani nyingi mtoni.Kama hali ikizidi kuwa mbaya itabidi kuuzoa huu mchanga jambo jengine ambalo linaiogopesha serikali ya Misri kuliingia katika kipindi ambacho uchumi umeyumba.

Kwa kifupi hali ya safari imebadilika ghafla eneo hilo bila kutarajia kama vile corona ilivyoleta mambo ya ajabu duniani.
 
Hiyo meli ni kubwa hawakufanya tafiti hapo mwanzo kuona kama inaweza kupita na mara nyingi meli kubwa huwa zinapita na escort na wazamiaji chini kuona kina cha maji kitaendana na ukubwa wa hiyo meli sasa hapo kati kutokana na meli nyingi kubwa kupita bila matatizo nadhani wakapunguza umakini huko baharini kuna mambo mengi ya ajabu kuhusu meli yasikie tu.
Mdau kimbunga ndio kimesababisha yote hayo na sio kina.
 
Fikiria meli ina urefu wa karibu nusu kilomita yaani zaidi ya viwanja vinne vya mpira wa miguu.Makontena inayobeba huenda ni idadi sawa na makontena yote yaliyopo bandarini Dar es salaam.Ndio maana hawataki wayateremshe,kwanza wanaangalia uwezekano wa kuendelea na safari.Sijui makonnena hayo yaliyakuwa yaanze kushuswa wapi.Bila shaka meli hiyo haijawahi kufika Dar es salaam na huenda ikipita pale kigamboni inaweza ikaleta balaa jengine.
Pamoja na umakini wote lakini hali ya hewa ya wiki mbili zilizopita ilichangia kuharibu kina cha maji kwani kimbunga cha mchanga kilijaza tani nyingi mtoni.Kama hali ikizidi kuwa mbaya itabidi kuuzoa huu mchanga jambo jengine ambalo linaiogopesha serikali ya Misri kuliingia katika kipindi ambacho uchumi umeyumba.
Kwa kifupi hali ya safari imebadilika ghafla eneo hilo bila kutarajia kama vile corona ilivyoleta mambo ya ajabu duniani.
Kigamboni haipiti iyo mdau labda durban huko.
 
Beberu lazima aingie mzigoni, nilifikiria wataalam wazalendo wa kiafrika kutokea hata Somalia Au Eritrea wangekuwa wa kwanza on site!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Ndio wamenitumia email hapa, nikatoe ushauri wa kitaalamu 😀😀😀
 
Wameshindwa na kazi ndogo ya kiinjinia.Hapo kinachotakiwa nguvu aina tatu kwa wakati mmoja .Meli moja yenye nguvu sana inavuta kwa mbele,moja inasukuma kutokea nyuma na mbili zinakuwa eneo la kati ,moja kazi yake kupuliza mchanga uachie njia na nyengine inaivuta meli kuiweka sawa na uelekeo wa huo unaoitwa mfereji.Jua halikutwi meli itaendelea na safari yake.
Imekita kwenye mchanga unavutaje kabla ya kupunguza mzigo ili ielee isizame chini kumbuka kile ni chuma ukilazimisha kama wakivyotaka kutumia hiyo akili mwanzo inaweza kuleta madhara zaidi huko baharini huwa wanapunguza container na kupeleka kwenye meli ingine ili hiyo iligonga au kukita kwenye mchanga iwe rahisi kuitoa.
Mdau kimbunga ndio kimesababisha yote hayo na sio kina
Nimeona kimbunga kimepunguza kina na kuigeuza meli ule upande kama umeangalia si unaona imegota kwenye mchanga kabisa pembeni pale utawezaje kuivuta huku ina mzigo kinachotakiwa mzigo upungue harafu itolewe au kutoa mchanga chini kule kitu ambacho ni kazi kubwa pia.
 
Fikiria meli ina urefu wa karibu nusu kilomita yaani zaidi ya viwanja vinne vya mpira wa miguu.Makontena inayobeba huenda ni idadi sawa na makontena yote yaliyopo bandarini Dar es salaam.Ndio maana hawataki wayateremshe,kwanza wanaangalia uwezekano wa kuendelea na safari.Sijui makonnena hayo yaliyakuwa yaanze kushuswa wapi.Bila shaka meli hiyo haijawahi kufika Dar es salaam na huenda ikipita pale kigamboni inaweza ikaleta balaa jengine.
Pamoja na umakini wote lakini hali ya hewa ya wiki mbili zilizopita ilichangia kuharibu kina cha maji kwani kimbunga cha mchanga kilijaza tani nyingi mtoni.Kama hali ikizidi kuwa mbaya itabidi kuuzoa huu mchanga jambo jengine ambalo linaiogopesha serikali ya Misri kuliingia katika kipindi ambacho uchumi umeyumba.
Kwa kifupi hali ya safari imebadilika ghafla eneo hilo bila kutarajia kama vile corona ilivyoleta mambo ya ajabu duniani.
Hapo lazima yatelemshwe Mkuu zipo meli za kupakua makontena meli kufaulisha mzigo baharini ni kawaida tuu kwenye emergency hata ingekua na urefu wa Moro dar mzigo unatolewa ikiwa nyepesi ndio inatolewa kwenye mchanga iliponasa bila hivyo itawasumbua sana mimi hizo meli nimeziona Cape Town dock na zingine za mita 350 kufanya kazi hakuna jipya kwangu kwenye meli nimezunguka nazo hizo karibu miaka mitano...
 
Wameshindwa na kazi ndogo ya kiinjinia.Hapo kinachotakiwa nguvu aina tatu kwa wakati mmoja .Meli moja yenye nguvu sana inavuta kwa mbele,moja inasukuma kutokea nyuma na mbili zinakuwa eneo la kati ,moja kazi yake kupuliza mchanga uachie njia na nyengine inaivuta meli kuiweka sawa na uelekeo wa huo unaoitwa mfereji.Jua halikutwi meli itaendelea na safari yake.
Changamoto kubwa inapaswa itumike nguvu ambayo isije ipindua hiyo meli yenyewe
 
Ivi huo mfereji una upana wa mita ngapi??
Usiulize upana mkuu, uliza ulitengenezwaje?? Ni kiongozi mmoja hapo Misri aliona hiyo fursa kwamba iweje tusipasue hapa na kuunganisha bahari moja na nyingine ili kukuza pato la nchi ndio viongozi wenye mawazo makubwa ya akina Magufuli hao, na walianza kuchimba huo mfereji hapo awali na jembe na surulu za mikono kabla ya baadae nadhan kuongeza nguvu ya teknolojia, watu wa misri wa kipindi hicho walilaumu sanaaa.

Imagine huo mfreji unavyooliingizia taifa la misri matrillion ya dollors.

Kiongozi alieanzisha wazo na kuchukua hatua alishakufa mamia ya miaka ila wanaofaidi ni vizazi vya wajukuu na vitukuuu.

R.I.P mtekelezaji JPM

Ungepewa maisha nadhan baada ya kumaliza hii miradi iloyopo mm niliona kabsa ukihamisha uelekeo wa baadhi ya mito nchini na kuleta maji katika ziwa dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana kama kipindi kile cha uchaguzi yule mzee Rungwe alivyosema anataka bahari aipeleke mpaka Dodoma kumbe ingeliwezekana
Soma andiko langu hapo juu mkuu jinsi palivyo tengenezwa, nothing impossible na upeo wa mawazo ya mtu ukisema hiki hakiwezekan inakuwa hivyo ukisema hiki kinawezekana inawezekana kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom