simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Fursa -go long on Brent.
Lazima mkuu hapo lazima uchumi utatetereka hili ni pigo kwakweli
Acha mchezo kaka nilisoma nikaogopa kwakweli hapo kuna kipigo chaja bila ya kupendaThamani ya mizigo ambayo inashindwa kupitishwa hapo kwa siku ni $9.6 billions according to BBC World News.
Udini ndio nini. Akitajwa Mungu unastuka.Heeee kumbe kuna udini tena
Duu unajua maana ya Mto wewe.Wangeuita mto wa kuchimwa wa bahari ingekuwa jina zuri.
Kulungana na urefu wa meli 300 Metre Mfereji unaweza kukadiria 400-500 MetreIvi huo mfereji una upana wa mita ngapi??
Kwanini umewaza hivyo?Waipige bomu tuu iyo meli
Kama m300 sehemu nyembamba kabisa(Its narrowest point)Ivi huo mfereji una upana wa mita ngapi??
Ndio unaweza kusema Canal ni aina ya mto ambao umetengenezwa na binadam na sio wa asili.(Ndomaana kiswahili unaitwa Mfereji)Wangeuita mto wa kuchimwa wa bahari ingekuwa jina zuri.
Kama gharama inayo tumia kuitoa apo na hasara uliyo sababisha ni kubwa kuliko meli na mzigo iliyo bebaKwanini umewaza hivyo?
Suez CanalIvi huo mfereji una upana wa mita ngapi??
Beberu lazima aingie mzigoni, nilifikiria wataalam wazalendo wa kiafrika kutokea hata Somalia Au Eritrea wangekuwa wa kwanza on site!Hata mimi nilisoma hivyo na kunawataalamu wakukwamua wanakuja kutoka Italy kusaidia aisee ilikuwa kama utani lakini sasa mbombo imekuwa ngumu kuliko walivyo tazamia.
Dini imeharibu akili yakoNi changamoto kweli.Safari hii kimbunga cha mchanga inaonekana kimechangia kujaza kifusi ndani ya Suez.Wapunguze jeuri na kupitisha bidhaa haramu.Mwenyezi Mungu akikasirika anaweza kuufukia mfereji wote kwa dakika moja tu ikawa kama zamani.
M390Ivi huo mfereji una upana wa mita ngapi??
Halafu meli ina urefu wa mita 400....kazi wanayoM390
wazee wa story za kusadikika. hata hili? punguzeni basiInasemekanani jammer wa iran wameijam hiyo meli
Si ndio ikakwamaHalafu meli ina urefu wa mita 400....kazi wanayo
Wameshindwa na kazi ndogo ya kiinjinia. Hapo kinachotakiwa nguvu aina tatu kwa wakati mmoja. Meli moja yenye nguvu sana inavuta kwa mbele, moja inasukuma kutokea nyuma na mbili zinakuwa eneo la kati, moja kazi yake kupuliza mchanga uachie njia na nyengine inaivuta meli kuiweka sawa na uelekeo wa huo unaoitwa mfereji. Jua halikutwi meli itaendelea na safari yake.
Hiyo meli ni kubwa hawakufanya tafiti hapo mwanzo kuona kama inaweza kupita na mara nyingi meli kubwa huwa zinapita na escort na wazamiaji chini kuona kina cha maji kitaendana na ukubwa wa hiyo meli sasa hapo kati kutokana na meli nyingi kubwa kupita bila matatizo nadhani wakapunguza umakini huko baharini kuna mambo mengi ya ajabu kuhusu meli yasikie tu.Udini ndio nini. Akitajwa Mungu unastuka.
We unadhani bila kumtukuza Mwenyezi Mungu kuna kinachokuwa chenyewe hapa duniani.
Huo mfereji ni kweli unapitisha bidhaa haramu na meli za kivita za kuwaonea wanyonge.Sasa Mungu akiufukia kuna hasara gani kwake.Mchanga uliojaa eneo la Suez ni kazi nyepesi tu kwake. Hivi sasa inazungumziwa wiki tatu ili Evergreen iondoke inaweza ikatajwa ni kazi isiyowezekana tena kwa miaka ya karibuni.Tukarudi kutumia bahari ya Atlantic kuleta mizigo Afrika na mashariki ya kati.