Meli kubwa ya mafuta ya Iran yashika moto

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Bado hakuna habari rasmi toka serikali ya Iran.

Huu ni mwendelezo wa matukio ya kuungua kushambuliwa ya mara kwa mara kwa Iran. Huenda Israel ikahusika kulipua meli hii kubwa ya kijeshi. DW inasema meli hiyo imezama kabisa

Chanzo cha habari DW kiswahili.
🎥 Telegraph



=====

Meli kubwa kabisa ya jeshi la wanamaji la Iran imeteketea na baadae kuzama hii leo katika mazingira yasiyoeleweka kwenye ghuba ya Oman. Hayo yameripotiwa na mashirika ya habari ambayo hayamilikiwi moja kwa moja na serikali. Mashirika hayo ya Fars na Tasnim yameeleza kwamba juhudi za kuiokoa meli ya Kharg zimeshindwa.

Kwa mujibu wa taarifa za kituo cha televisheni ya taifa wazima moto walijaribu kuudhibiti moto huo. Meli hiyo iliyopewa jina la kisiwa ambacho ndio kituo kikubwa cha mafuta cha Iran,Kharg, ilizama karibu na bandari ya Jask kiasi kilomita 1,270 Kusini mashariki mwa Tehran katika ghuba ya Oman karibu na mlango bahari wa Hormuz.

Picha zinazosambaa katika mitandao ya kijamii nchini Iran zinaonesha mabaharia wakiwa wamevaa jaketi za kujiokoa wakiondoka kwenye meli hiyo huku moto ukiwaka.
 
Breaking news

Meli kubwa ya Kivita ya Iran iliyosheheni silaha kali, 'Imeshika' moto na kuzana. Bado hakijafahamika chanzo kamili na 'maswahibbu', yaliyopelekea mkasa huo.

Mapema siku ya Jumapili, Mtandao unaomilikiwa na chi za kiarabu Arabiya, uliripoto meli hiyo 'kuseleleka' kuelekea Pwani ya Afrika Mashariki, hasa ikidhaniwa ilikuwa ikielekea Pwani ya Venezuela.

Lakini chanzo hicho kikashadidia kuwa Ikulu ya Marekani, ilikuwa imemuonya Bwana Nicola's Madulo kuwa kuruhusu Meli hiyo ya kivita ya Iran itie nanga katika Pwani yake "litakuwa ni kosa kubwa".

Hivi Punde vyombo makini vya kiusalama vya Israel vimeripoti Meli hiyo kushika, moto, na kisha kuanza kuzama ikiwa karibu kabisa na bandari ya Oman.

Haya haya hayaaaaaaa

Tehran, Iran – One of Iran’s largest navy ships has sunk after catching fire near the Strait of Hormuz under unclear circumstances.

The Kharg, named after an island nearby that serves as a key oil terminal, caught fire in the early hours of Wednesday local time and more than 20 hours of rescue operations failed to save it, the army said.

An image taken late at night showed crew in life jackets running away with a fire raging behind them. Another image, taken in daytime, showed heavy smoke billowing to the sky and fire still burning.

Iran’s army also identified the Kharg as a “training ship” and confirmed there were almost 400 crew and trainees on board, before adding all of them were safely evacuated.

Translation: PR of the second maritime district of Jask has announced that after a fire broke out at the Kharg vessel and personnel were moved to the beach, the rescue operation for the training vessel failed after 20 hours of all-out work due to the spreading of the fire and the vessel rested in the Jask waters.

A local army official told the semi-official Tasnim news agency that 20 people suffered minor burns.

No reason was provided for the cause of the fire but an army official told Iran’s IRNA the fire started in the engine room and parts of the ship’s body melted and fell into the sea.

The vessel sank close to the port of Jask in the south of the country, near the Strait of Hormuz, a strategic waterway

The vessel was built in Britain and launched shortly before Iran’s 1979 Revolution and entered the Iranian navy in 1984 after several years of negotiations.

The army official told Tasnim that much of its equipment had been overhauled by Iranian engineers in recent years.

It was capable of providing replenishment at sea to help other ships, could lift heavy cargo and also had launch and landing pads for helicopters.

The Kharg’s sinking marks the latest big naval incident for Iran in recent years.

Last year, a missile was mistakenly fired during a military training exercise at sea, killing 19 sailors and wounding 15 others.

An Iranian navy destroyer also sank in the Caspian Sea in 2018.

Wana wa Ayatollah njooni huku.
FB_IMG_1622633586399.jpg
 
Back
Top Bottom