Meli kubwa ya angani (Airship) kusafirisha nje (export) Gesi kutokea Tanzania

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Meli kubwa la angani kusafirisha gesi ya Tanzania (Helium). Meli hii kubwa inauwezo wa kubeba hadi 20 Metric Tonnes ya Mzigo na haihitaji uwanja wa ndege rasmi ili itue, inaweza kutua sehemu yoyote.
inside_atlant_over_gas_factory.jpg

20170408_050021.jpg
 
Meli kubwa au ndege, aisee kweli mimi ni mshamba sana
Ndo hivyo mkuu, hatuna jina sahihi la kiswahili maana hatujatengeneza sisi. Ila walioitengeneza wakaiita 'airship', ebu na wewe tafsiri hilo neno.......................airship.
 
Airship haimanishi meli watanzania wenzangu. Kitu chochote cha kusafirisha mzigo ni shipping. Airship wanaamanisha usafirishaji kwa njia ya anga.
Asante kwa elimu mkuu,@ Mods wafanye yao pale kwenye title maana lugha zetu zinapata ukomo tunapokutana na mambo mapya, mimi ndio nimeiona leo
 
Back
Top Bottom