tizama link hii; Oasis of the Seas: The Biggest Cruise Ship in the World Video | Smithsonian MagazineGhorofa ngapi unapanda na lift?
Waliwahi kusema kwa jinsi Titanic ilivyojenngwa hata Mungu hawezi kuizamisha, sijui kwa hii
hapo kwenye bata kuna hayo maandishi ya HALUA ZA ZA BAHARININishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010), zimepishana kidogo sana kwenye urefu ila vipimo vingine ni karibu sawa.
Zote zinamilikiwa na Royal Carribean
sijaona mahali pa kuweka LIKE, unaweza kututupia hapa na vionjo vyake?
Mbona inafanana na mv victoria tu