Meli Kubwa Kabisa Duniani

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Jamani Nawatoa Kidogo kwenye Picha za Wanawake, Tupate Kujuzana kidogo hapa

217635-worlds-largest-cruise-ships.jpg
 
Waliwahi kusema kwa jinsi Titanic ilivyojenngwa hata Mungu hawezi kuizamisha, sijui kwa hii
 
Ooooooopsss, ina swimining pool 21, abiria 5,400, 5 star hotels, 24 restaurant, 10,000 rolls of toilet paper, kiwanja cha ndege etc
 
Nishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010), zimepishana kidogo sana kwenye urefu ila vipimo vingine ni karibu sawa.
Zote zinamilikiwa na Royal Carribean
 
Last edited by a moderator:
Nishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010)
sijaona mahali pa kuweka LIKE, unaweza kututupia hapa na vionjo vyake?
 
Nishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010), zimepishana kidogo sana kwenye urefu ila vipimo vingine ni karibu sawa.
Zote zinamilikiwa na Royal Carribean
hapo kwenye bata kuna hayo maandishi ya HALUA ZA ZA BAHARINI
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom