Meli inanyokatika

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
894
6d1bc3baf03f5616fb0e6a706700f409yyyyyyyyyyyyyyy.jpg
6f155bdedb693d16fb0e6a706700e257ffffffffffff.jpg
77bccecbefed5516fb0e6a706700a278vvvvvvvvvvvvvvv.jpg
photo_1318391577241-2-0dddddddddddddddddd.jpg
 
kwanini wasipeleke meli nyingine ikaipunguzie mzigo?sometimes wazungu wanakua kama wajinga vile.wenyewe wanang'ang'ania mafuta yanamwagika baharini bila kujali kwamba meli ikizama wafanyabiashara watapata hasara kubwa.wafaulishe mzigo meli ivutwe itolewe majini.mia
 
Kudadeki, hilo meli lilikuwa fiti sana tu, sasa tatizo ni mzigo maana tatizo ni centre of gravity ilihamia nje wakati inatakiwa kuwa katikati ya meli, hakukuwa na jinsi ya kuokoa mizigo maana wangeanza kushusha tu ineweza kuzama haraka na kuleta athari kwa waokoaji
 
Jamani jamani. Mpaka unaona hivyo ujue yametokea mambo mengi sana. Hapo kuna ajali mbili ya kwanza hiyo meli iligonga halafu mzigo ukashift na kusababisha metacentric height kuongezeka and therefore unstable equil. Ajali itayofuata baada ya hapo ni kupinduka na kuzama. Kuhusu kuhamisha huo mzigo, umenikumbusha aliyetoa wazo la kutoboa reserve bouyance kwenye MV BUKOBA mzee.
 
Uzuri bahari bado shwari captain anaweza kuserve ila hiyo mizigo ndo hasara.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom