Meja mstaafu John Salingo amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Dodoma Mjini

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Meja mstaafu John Salingo amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Dodoma Mjini kwa kupata kura 644 akiwashinda Dk David Malole (269)

na Vanesa Frank ambaye amepata kura 43
FB_IMG_1583593120937.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazituhusu hizi habali.. Habali ni mbowe na wenzie wawe free na kesi la kubakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mbowe na wenzake wasipokula mvua jumanne! Nitajua mahakama inawaogopa wana siasa! Maana yule binti Akwilinner wasingekuwa wao mtoto wa watu angekuwepo.

Hivyo chanzo niwao wenyewe!
Km walitaka waende tume ya uchaguzi siwangepanga ofsini badara ya mkutanoni?
Naomba mahakama isiangalie sura ya mtu, itende haki, kunadam ilimwagika pale,
 
Back
Top Bottom