Meja Kunta ndio the best Singeli singer Ever

Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni 🔥🔥. Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake
 
Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni . Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake
"Wanga Wabaya" (Yanga Wabaya)

Yule ni Mnyama,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom