Meja jenerali (mstaafu) mwakitosi afariki: Lau masha alikuwapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meja jenerali (mstaafu) mwakitosi afariki: Lau masha alikuwapo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Mar 9, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  MAOFISA wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba jeneza lenye mwili wa Meja Jenerali Mstaafu, Jumanne Mwakitosi, wakati wa mazishi yaliyofanyika leo, kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Meja Meja Jenerali Mwakitosi alifariki juzi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.
  [​IMG]
  Wanajeshi wakilifikisha jeneza lenye mwili kwenye eneo la kaburi
  [​IMG]
  Kisha mazishi kwa mujibu wa dini yake ya Kiislamu yakafanywa. Hapa wahusika wameingia kaburini tayari kuzika.
  [​IMG]
  Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Abdulrahman Shimbo (kushoto) akiungana na waombolezaji wengine kuomba dua baada ya mazishi hayo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Tanga, Meja Jenerali Mstaafu, Saidi Kalembo.
  [​IMG]
  Kisha JWTZ wakatoa heshima ya Kijeshi kwenye kaburi
  [​IMG]
  Askari wa JWTZ wakirindimisha mizinga 13 kwa heshima ya kijeshi ya mazishi hayo
  [​IMG]
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uratibu na Bunge, William Lukuvi (kushoto), Waziri wa Ulinzi Dk. Huseein Mwinyi na Waziri wa mambo ya Ndani wa zamani, Lawrence Kego Masha (kulia) walikuwepo kwenye mazishi hayo, bila shaka hapa walikuwa wakiteta jinsi Marehemu alivyokuwa mtu muhimu katika jamii. (Picha zote na Chachandudaily.blogspot.com).
   
 2. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No hiyo picha hapo chini ninaonesha Masha bado analalamika kushindwa Ubunge. Bado haamini mpaka leo kwamba alishindwa ubunge.
   
 3. P

  Percival JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Binaadamu kaumbwa kwa udongo na anarejea udongoni. Hii dunia tunapita tu - tupendane.
  Mola Amuweke Pahala Pema > Amin
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilifikiri wajeshi hawafi pamoja na kujidai na misilaha kumbe bure 2
   
 5. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nao ni binadamu kama sisi, ile kazi tu ingawa wengine kama Shimbo na Mgawe wanaona wao ni zaidi ya wengine hasa raia!!
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Rip mwaki
   
Loading...