Meja Abdul Mingange: Kocha mzoefu wa Ligi kuu Tanzania bara aichambua SIMBA SC kimbinu.

Amanito

JF-Expert Member
Nov 20, 2015
259
551
Nimezungumza Mara nyingi na wanaonielewa wananielewa.

Simba wanakikosi kimekaa pamoja wachezaji wake zaidi ya 70% wamepata challenge nyingi na kubwa kubwa kuliko hizi timu zetu za ligi yetu.

Huwa nasema team strategy na team formation huwa haina maana Kama hakuna players functions fully.

Tatizo la walimu wengi wanapotaka kucheza na Simba wanataka wapate matokeo.

Kuna instructor wangu mzoefu duniani katika kufundisha soka alinieleza hivi. Kwanza jua nguvu ya mpinzani wako, na mapungufu yao.

Pili jua ni wachezaji gani hatari wakiwa kwenye maeneo hatarishi kwako. Jambo la pili jipime uwezo wa timu yako na nguvu ulizonazo utazitumiaje.

Ukicheza na Simba Kuna wachezaji 4 ndiyo hatari Sana wanapokuwa na mpira wakiwa kwenye nusu yako. Siwataji kwa sababu za kiusalama kimpira.

Pili wachezaji wako wasiwe wavivu. Timu inayo kaa na mpira muda wote akitokea mvivu upande wenu mjue mashimo yatakuwa mengi.

Tatu wachezaji wengi watanzania ni ball watcher. Wanachelewa kuona na kufikiri( tactical perception).

Tatu wachezaji wetu hawajui kipi hatari uwanjani wanadhani mpira ni hatari. Kwanza space ndiyo hatari, mbili opponent, tatu ndiyo mpira.

To mark means to be between an opponent and your goal and the same time you see an opponent and the ball at the same time without turning. That is right position of marking.

Huwa naangalia Sana wachezaji wengi watanzania wanamatatizo hayo. Tatizo wamekosa kufundishwa mpira wa maarifa mapema.

Walioangalia mpira wa Yanga vs Mwadui, Mchezaji aliyefunga kwa kichwa, aliruka nyuma ya Dickson Job, free header kwa sababu Job hajamuona striker kuwa yupo nyuma yake.

Tatizo lingine wachezaji wetu wanakosa spartial awareness. This is very tactical element na hutokana na skill ya mchezaji.

Skill is to be at the right position, right time, and right decision( execution). Skill is in born the coach develop it.

Yote hayo niliyoyasema yanahitaji uelewa wa coach ili asajili those type of players. Fitness Kuna maeneo yanatakiwa yajengwe zaidi kuliko maeneo mengine. Ndiyo maana mpira wa Sasa unahitaji wataalamu wengi si kocha mkuu tu. Fitness trainer, goalkeeping coach , psychologist, nk.
 
Ye

Inavyoonekana ni mtaalamu mzuri kwa mazungumzo yake
Yeye ni kocha wa timu gani?
Kwa sasa timu anayofundisha ipo katika nafasi gani?
 
Mtafute na Ngawina Ngawina.

Jamaa amepandisha timu nyingi sana za ligi kuu lakini hapewi heshima yake.
 
Watanzania ni wataalam wa kuuchezea mpira mdomoni!!
 
Tupe cv ya huyu unayempigia debe kuwa kocha mzoefu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom