MEI MOSI: shetani kuwa malaika na malaika kuwa shetani haitatokea

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Ni wazi kabisa uwepo wa malaika wengi ni neema, na hii inahitaji mikakati madhubuti ikiwamo udhibiti wa thamani ya shilingi,sio Kupunguza asilimia ya kodi tuuu,ustawi wa mtumishi ni suala pana na mshahara ni kipengele kimoja tu,heshima kwa watumishi na sheria zinazowaongoza,posho ya Kazi NA mazingira magumu,mazingira bora ya Kazi nk,kwa hali ya mei mosi,sioni dalili ya mashetani(wenye hali ngumu)kuwakaribia hata kidogo malaika,enyi mashetani bakini kuzimu,endeleeni kuungua kwa moto tena moto wa milele,mkistaafu mtakuwa wakuu wa mashetani,ibilisi,baba wa waliolaaniwa kimaisha na kupigika mpaka kwenye mazishi daftari la kununua sanda litatembezwa mtaa mzima,poleni wana may day
 
Hali bado ni ileile mbinu zile zile,halafu tunatarajie matokeo tofauti
 
Back
Top Bottom