Mei Mosi hii inaweza kuwa ni kilio kingine kwa wafanyakazi

Dunia imewadharau na mmeonekane hamjastaarabika.
...wahuni wa Benghaz walitumia njia hizi hizi. Bahati mbaya, walibya hawakujua nia mbaya ya wahuni wale wakawaunga mkono. Watanzania tunajitambua...tunajua baya na zuri kwa haraka. Mmeumbuka leo.
 
Bajeti ya 2018/2019 ni bajeti ya tatu ya serikali hii ya awamu ya tano ambapo tangu iingie madarakani haijwahi kuongeza mishahara ya watumishi mbali na annual increment ambayo nayo imetolewa mara moja tu.

Mei Mosi ndio hiyo inabisha hodi ila sitashangaa ya safari hii pia ikawa ni kama ile ya miaka nyuma ya kuwaacha watumishi pasipo matumaini.

Ukiano siku hiyo bwana mkubwa hajaitumia kutangaza nyongeza basi usitarajie kusikia lolote huko Bungeni.

Hata Bungeni kwenyewe mpaka sasa sioni dalili ingawa bado wizara husika haijasoma bajeti yake.

Maendeleo ya watu yameingiliwa na watu!
Mkuu acha walie tu hao wafanyakazi, tena ikiwezekana hata machozi ya damu, ovyoo kabisa
 
...wahuni wa Benghaz walitumia njia hizi hizi. Bahati mbaya, walibya hawakujua nia mbaya ya wahuni wale wakawaunga mkono. Watanzania tunajitambua...tunajua baya na zuri kwa haraka. Mmeumbuka leo.
Nimeamini wanawake wanaweza!
 
Kama ilivyokuwa kilio leo hii katika Maandamano yenu uchwara! Mtanyooka tu. kwa hiyo sasa hivi Kiki ni ya Mei Mosi baada ya 0426!?
Pathetic!
 
Uongozi wa kutegemea dola hauna raha hata kidogo.

Huyu mtu wenu hata raha hana maana anapenda aonekane akubalike ila hali ni tofauti kabisa.
 
Mei mosi n sikukuu ya watumwa dunian,
Wale ambao wapo katka ratba za watu kutumikishwa ad mwsho wa mwez na Mara nyng ajira hiz ni kujaza tumbo na sehem ya kujistiri ambapo miaka ya 1990 tuliwaita wasaka tonge ila apo zaman c zaman sana hali anayopitia sasa iv Tanzania tuliita ujima (kufanya kaz kwa ajiri ya kula)

I wish good mei mosi kwa wote wahusika wa hii sikukuu
 
Nyambafu mwenyewe, Tanzania hakuna maisha magumu
Nyambaf unazania kama ww una maisha mazur ndio wote wanamaisha mazur, wengine hali zao ni tete, changamsha brain yako, usitumie spinal cord
 
Bajeti ya 2018/2019 ni bajeti ya tatu ya serikali hii ya awamu ya tano ambapo tangu iingie madarakani haijwahi kuongeza mishahara ya watumishi mbali na annual increment ambayo nayo imetolewa mara moja tu.

Mei Mosi ndio hiyo inabisha hodi ila sitashangaa ya safari hii pia ikawa ni kama ile ya miaka nyuma ya kuwaacha watumishi pasipo matumaini.

Ukiano siku hiyo bwana mkubwa hajaitumia kutangaza nyongeza basi usitarajie kusikia lolote huko Bungeni.

Hata Bungeni kwenyewe mpaka sasa sioni dalili ingawa bado wizara husika haijasoma bajeti yake.

Maendeleo ya watu yameingiliwa na watu!

Mkuu sahau kabisa sisonje kuongeza mshahara, hela atatoa wapi sasa na kodi inazidi kupungua kila uchao,uwekezaji wenye kuweza kulipa kodi haupo,reli hailipi kodi,umeme haulipi kodi, na zote ni hela za ndani.donnors hawatoi misaada kwa ajili ya mishahara, kilimo mmekipa kipao nyuma, ndege zinaleta hasara hazina mchango ukuaji kiuchumi ingawa mme tie a lot of money, mi nadhani ifike wakati tumkatae sisonje na mambo yake yote, na tabia zake zote na uongozi wake wote
 
si nilisoma uzi humu kuwa wameongezewa mishahara kumbe ulikuwa uongo??
 
Mkuu sahau kabisa sisonje kuongeza mshahara, hela atatoa wapi sasa na kodi inazidi kupungua kila uchao,uwekezaji wenye kuweza kulipa kodi haupo,reli hailipi kodi,umeme haulipi kodi, na zote ni hela za ndani.donnors hawatoi misaada kwa ajili ya mishahara, kilimo mmekipa kipao nyuma, ndege zinaleta hasara hazina mchango ukuaji kiuchumi ingawa mme tie a lot of money, mi nadhani ifike wakati tumkatae sisonje na mambo yake yote, na tabia zake zote na uongozi wake wote
Hio ni ndoto kwa awerenes ipi ya hawa washangiliaji na wapiga makofi
 
Back
Top Bottom