Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,623
JK HAKUNAGA, watanzania kila kukicha anatuonyesha uongozi wake ulotukuka
1. hana kinyongo na watu waliomsema vibaya hadharani kama vile MGAYA WA TUCTA NA MBOWE WA CHADEMA
2. Amewakaribisha ikulu wabaya wake kwa mazungumzo shahidi ni mgaya na mbowe
3. Kapokea kilio cha watanzania kuhusu KATIBA, leo tume imeanza kazi
4. Katoa ruksa kwa ripoti ya CAG kujadiliwa vijiweni
sitaki kuwachosha naomba wengine mmalizie sifa za JK
.
-ni rais pekee duniani anaeongoza nchi kwa matukio.
.