Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,017
Ko0ote anazunguka,the ishu iz mshahara je ume0ngezeka?
mei mosi si siku ya nyongeza za mishahara- Mkapa
Ko0ote anazunguka,the ishu iz mshahara je ume0ngezeka?
baada ya kuwachana wakarudi wizarani business as usual! what a president????JK kumbe anajua ubadhirifu halmshauri tangu siku nyingi. Kumbe alimwita Uttoh akawachane Mawaziri na Makatibu Wakuu.
funguka macho wewe kipofu!! rais analist matatizo tu! no solution any fool can do this!!usipate kigugumizi kukiri kuwa utayari wa RAIS ndo umefanya tukajua tuliyoyajua,na usisite kumpongeza kwa hatua hii ya kwanza maana hao wenzie walopita hata hii wameshindwa,jiulize Accounting package ya chama chako mlonunua toka kwa Josephine mshumbuz ilifata taratibu za manunuzi?? CAG angekuwa anapita huko mngedai katumwa kuwavuruga!
JK anahutubia taifa au anafundisha public auditing act?
Kwenye suala la TRANSPARENCY JK YUPO JUU,AMEJTAHID SANA
Awapongeza wa bunge kwakazi waliyoifanya kule Bungeni kwa jinsi walivyo jadi taarifa ya CAG na kawaomba taarifa zote za CAG zijadiliwe bungeni na zipewe mda mrefu wakujadiliwa!Kawahaidi kutekeleza yale yaliyosemwa kwenye taarifa ya CAG
JK achukizwa na ubadhirifu wa pesa za umma serikali za Mitaa na Wizarani.
Kwa hotuba hii ya JK mawaziri wanapigwa chini shortly!!