Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

Hakuna mtu muongo kama meghan,, nlimsikiliza kwenye ile interview na oprah,,, haki ya nan,, prince amevagaa cha kike,, wanamponda queen wakat pesa zao za expenditure znatoka kwa palace,,.
 
Lilibet lilikuwa jina la Princess Diana la kwenye Kasri kama AKA yake so huyo mtoto wamempa majina ya Princess Diana

Hapana mkuu hilo jina Lilibet ni jina la Queen Elizabeth
Alipokuwa mdogo akiulizwa jina lako nani hakuweza kutamka Elizabeth kwa hiyo akawa anatamka Lilibet

Na Harry na Meghan wamempa jina hilo bila ya ridhaa ya Malkia maana yake hawakumshauri Bibi
 
Meghan kaharibu mtt,, mama yake na kuwa rebellious kote kule hakuwah kujitoa kuwa sio wa loyal line,,,, that brat kaharibu Harry's life
As if Harry ni mtoto....

Ilhalj.mwenyewe alisema hawezi kuruhusu aliyopitia wanae wapitie......
 
Prince William ain't doin it right if you ask me, cause if I was him I woulda Mary Kate and Ashley”
 
Nimesikia tetesi kuwa Malkia amewalalamikia akina Meghani kwa kumpa jina la kipindi cha usichana wa malkia mtoto wao, pasipo malkia kuwa ameridhia mtoto huyo kupewa jina hilo, yaani Malkia hakushirikishwa kwenye kumpa jina hilo mtoto huyo
 
Back
Top Bottom