Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
- Thread starter
- #21
Unauliza mkakati wa kukuza kilimo hujui?Mko vizuri sana kwenye taarifa za kwenye makaratasi! Ila ukija kwenye maisha halisi ya Watanzania, mambo ni tofauti kabisa.
Mna mkakati wowote ule wa kuboresha kilimo awamu hii? Mna mkakati wa dhati wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara?
Mna mkakati wowote ule wa kupunguza tatizo la ajira na pia kuboresha maisha ya wafanyakazi? Kote huko majibu yamekaa kisiasa na kinadharia zaidi! Kubali tu, Raus wako kipenzi ni failure!!
Ajira ni suala gumu dunia nzima.