Mimi naunga mkono adhabu ya kifo iendelee..Nukta.
Hamna sababu yoyote ya kujiulizauliza mara mbili kwanini mtu asinyongwe hadi kufa, kama mtu huyo alichukua uhai wa mwingine while unprovoked and in no immediate danger to his/her own life at the moment of the act.
Nimesoma hii atiko jana,leo asubui tena nimeirudia hivi unamnyonga vipi mtu huku unamuangalia,nimewaza mambo mengi sana hadi nimeogopa. Nimefikiria kama nipo kwenye tukio nashuhudia hadi nimeogopa.. Unamtoa chumbani,unampeleka kwa ndgu zake,wanaomba pamoja,unamwambia achague chakula akitakacho anakula kisha unamfunga kitambaa cheusi unamnyonga,kama hajafa unampiga na nyundo kichogoni hadi afe,yani nimeogopa.
Ndugu gani?Kwa nyie ndugu zetu hiyo sio ajabu.
yaan mm nimetetemeka had utumbo.Yani unasoma hadi unaogopa.
Ndugu gani?
mmeanza udin hapa
Hapo lazima "mmea" utumike.
yaan mm nimetetemeka had utumbo.
Nimeshindwa kumalizia hii habari kuisoma inatisha sana nimehisi kama nipo kwenye tukio
Mie hapa nd'o kaniacha hoi mazee...
Hehehehe!...hata sijui analala vipi nyumbani huyu mtu aisee. Kumpiga mtu na nyundo kichwani si machezo mazee...When there are mistakes Micheal says in the event that the prisoner is not dead, they are hit hard at the back of the head with a hammer or a crow-bar.
Ab-Titchaz hapa ndio pameniacha hoi kabisa imebidi niagize chupa kubwa ya maji ya kilimanjaro