Meet Ange Kagame the giant Daughter of Africa's Tallest President Paul Kagame of Rwanda

kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,317
2,000
Kagame ni mrefu ila sasa shida za kukaa ukimbizini, mawazo, zilimfanya awe mfupi like wise Watanzania weeeengi robo tatu yao ni warefu mnoo ila sasa shida zinawafnya wawe wafupi, mara huku idd amini, mara tukakomboea ndugu zetu msumbiji, mbu wao, lishe duni wao, vinyesi wao!! kusemwasemwa wao! mlo laka moja daily uta refuka kweli?

Ni Ngumu Kurefuka Kwenye Huu Utawala Wa Ccm
 

wakaliwetu

JF-Expert Member
Jul 16, 2020
590
1,000
Hiuyo dogo mwenye black tisheti nasikia ndio kopi ya kagame kwa kila kitu sura Hadi tabia

Currently Yuko jeshini Kama PK hatomwachi huyo first born wake Basi huyo dogo ndie ataaechiwa nasikia dogo na ujasiri wa ajabu hatari

Ya Ni kagame mtupu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sizani kama atamwachia huyo mkubwa huyo mdogo hata wanajeshi wana msikiliza sana kuliko huyo mkubwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom