nexus
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 374
- 163
waulizeni wenzenu waliokuwa wanajenga mnara wa babel kilichowapataMimi ninapenda sana makala zako na hasa za mambo ya meditation (Tahajudi) lakini navyo jua kila meditation ina malengo zipo zile za "physical meditation" ambazo watu wana malengo tofauti pia hapo wako wanaotaka kupata tulizo la akili na kuimarisha ufahamu pia kutafuta nguvu n.k na spiritual meditation hasa navyojua mimi lengo lake kuu kufikia utambuzi wa juu kabisa kuhusu uwewe ndo unafika ktk hatua ya "Enlightenment " sijui hasa ndugu yangu Mshana jr mwanzo kabisa ulipoanza ku meditate ulikuwa unataka meditation ikupe matokeo gani na tukumbuke meditation ni "tool" tu au kama gari umepanda lengo ni unapokwenda sio gari lenyewe