Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

Hiyo meditation anayoisema Mshana Jr, ipo , lakini ni ngumu sana kuifanya kwa sababu inachanganya mambo mengine yanayoshirikisha roho za wafu, njia hii so nzuri hata kidogo. Zipo njia nyingi za kufanya death meditation na ni rahisi, tens bora zaidi kuliko hiyo ya kuzuia pumzi. Tafuta kitabu kiitwacho Astral projection the human double. Huna haja ya kuziua pumzi, unatakiwa kulala kitandani kwenye chumba kisichokuwa na kelele au movements za watu au vitu, .unalala chali, usicross mikono wa miguu, fumba macho, kisha uache mwili ulale,lakini akili yako isilale. Utaifanyaje akili yako isilale?. Fanya hivi-- utilize mwili wako ili ulale, wakati huo unahesabu. 1234567890,1234567890. Endelea kuhesabu Vila kukoma. Baadaye utaanza kusikia ganzi inaanzia kwenye vidole vya miguu ikipanda taratibu kuja kwenye magoti kisha kifuani, na wakati huo, hutaweza kuchezesha hata kidole cha mguu. Endelea kuhusabu tu, mpaka ganzi utaisikia imevuka kifua ikelekea shingoni. Endelea kuhesabu. Ganzi utaisikia ndani ya kichwa endelea kuhesabu. Kisha utaona haumo katika mwili wako, tayari umejitenga na mwili wako ,yaani umesha kufa. Lakini hicho sio kifo, ni death meditation kama alivyosema Mshana Jr. Katika Bali hiyo, utaweza kuingia vyumba tofauti katika nyumba ulimolala Vila kupita mlangoni. Ukiangalia kitandani ulipolala, utauona mwili wako ummelala fofofo sio fafafa. Je , huoni kuwa hii ni njia rahisi zaidi ambayo Mshana anasema haiwezekani?. Angalizo ni kuwa, 1. Wakati unafanya death meditation, Mimi naita "astral projection" hakikisha kuna utulivu kabisa katika nyumba una yofanyia zoezi hili. Kwa sababu movement yoyote kama vile kelele za bawaba za mlango zitchangia kuzuia projection. 2.unatakiwa kabla ya kufanya zoezi hili, hakikisha hauna maganjwa ya moyo, au sukari. Uwe fiti. 3.wengi huwa wanaahirisha has a ganzi inapofikia chini ya kifua wanajitikisa ili kuahirisha..
wewe umeishafanya hiyo kitu unayoielezea

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Ni sawa lakini wewe unachanganya kati ya breathing meditation na counting meditation, kumbuka pia kuna empty meditation nayo ni noma kuna wall meditation(staring the wall) object meditation ,walking meditation etc
Hizi zote ni meditation na Inategemea mtu anapenda ipi na kwa nini
mshana jr na walimu wenzio mnazingua mara mbishane sasa sisi wanafunzi tufate ya nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Meditations zimegawanyika katika mafungu mwili. Spiritual , na bodily meditations. Astral projection, ni bodily meditation kwa vile inahusisha mwili zaidi,. Vile vile, ifahamike kuwa kila mtu anatofautiana na mwingine katika madaraja ya maumbile. Wengine wamezaliwa tayari wana uwezo wa kutoka katika miili yao bila kusumbukia meditation. Meditation ni kwa wale waliozaliwa katika daraja la chini la nguvu ya concentration. Unaweza ukaita "Laura".. Kwa mfano, wapi watu wamezaliwa na uwezo wa kuangalia kutumia jicho la tatu , wakati wengine mpaka, wajifunze. Kwa hiyo, meditation inategemea umezaliwa na Laura ya rangi gani.(power of concentration) . kwa hivyo, Astral projection, kwa wengine hasa walozaliwa na nguvu hiyo, hufanyika kila wanapokuwa wamelala, wengine hata usngizi wa mchana. Astral projection ni tofauti kusafiri katika wakati( time travel). Kusafiri katika wakati ni spiritual meditation ambapo mtu baada ya kutoka katika mwili wake, atasafiri kurudi miaka ya nyuma, au ya mbele. Astral projection niliyoielezea ni bodily meditation sasa na uliyoielezea Mshana Jr. Lakini ikihusisha coffins na mishumaa, hiyo ni spiritual meditation ambayo itahusisha roho za wafu amayo ni hatari sana kwa yule anayeperform meditation hii ambapo, anayeperform, anaweza kukabiliwa na upinzani toka kwa roho za wafu kutaka kupossess mwili wake.. Astral projection ,ni zoezi la kawaida has a kwa wazungu.
Duh we kumbe teacher namna hii unaelezea nakupata bila kutengeneza maswali mi napenda sana ya kutoka nje ya mwili nahitaji kujua effect zake zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is death? Simply, is the end of an individual. Death is to be accepted along with all other natural facts, and it should be awaited with the same calmness that we await each new year in life. Therefore no one has anything to fear from it. Is a simple conclusion I made when i was meditating about death.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_5403.JPG
 
Mwaka huu, nilipata mwariko wa kuhudhuria INTERNATIONAL DAY OF YOGA pale UHURU STADIUM, turifundishwa pia tukapewa vitabu vya YOGA,
Ukaaji wake na mazoezi yake mengi ni kama picha anazotumaga mshana jr humu ndani,

Swali
Je kuna uhusiano wowote kati ya YOGA na MEDITATION?

_ where ever you are remember me_
 
Mwaka huu, nilipata mwariko wa kuhudhuria INTERNATIONAL DAY OF YOGA pale UHURU STADIUM, turifundishwa pia tukapewa vitabu vya YOGA,
Ukaaji wake na mazoezi yake mengi ni kama picha anazotumaga mshana jr humu ndani,

Swali
Je kuna uhusiano wowote kati ya YOGA na MEDITATION?

_ where ever you are remember me_
Yoga ni aina mojawapo ya meditation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi na uwezo wa kukaa dakika mbili bila kuhema nilianza sekunde 30,45-dakika 1.3,.1.10,1.20,1.30,1.45.hadi dakika mbili na bado naendelea na zoezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom