Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,674
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,674 2,000
Hii wala sikushauri ujaribu hutaweza hii ni level ya juu na practice ya muda mrefu, naweza kukushauri kujaribu kuacha kupumua kwa sekunde 30, ukifanikiwa acha kwa dakika nzima, endelea mpaka uweze dk 5 na kuendelea, yani huvuti pumzi ndani wala kuitoa nje... Hapo ulipo unaweza kujaribu
Hii ndio death meditation, unakuwa na uwezo wa kutopumua kabisa kwa muda fulani, lakini Kiuhalisia sio kwamba hupumui bali huo mchakato unafanyika kupitia matundu mengine ya mwili kama vinyeleo nk, ila inahitaji mazoezi ya muda mrefu sana
Wale wenye uzoefu na hii kitu hupenda kuwashangaza watu kwa kuomba wazikwe kwa masaa kadha huku mkono tu ama mguu tu ukiachwa nje ya jeneza na kisha kaburi
Ni mchakato wa kutisha na kuogofya sana kwakuwa Kama akishindwa manake mna kesi ya kuua bila kukusudia..
Baada ya masaa husika kupita yenye mashaka mengi hatimaye mnamfukua na kumkuta hai bukheri wa afya
Unaposikia ku develop supernatural powers ndio huku uwezo wa kupumua bila kutumia pua wala mdomo
Meditation nyingine inayofanana na hiyo ni ile ya kuwekwa kwenye jeneza na kuachwa pekeyako kwenye chumba cha giza, kama mjuavyo jeneza ni nyumba ya mfu kwahiyo tayari linakuwa na ile roho ya umauti, na hata wewe mwenyewe kihisia utahisi uko kwenye ulimwengu mwingine kabisa
Kuna baadhi waliojaribu hii aina ya pili walishindwa na kupiga kelele huku wakidai kuwa ile hali ya kufungiwa kwenye jeneza ndani ya chumba cha giza totoro na ukimya vimewakutanisha na wafu
All in all hii ni perception tu inakuletea uhalisia wa kile unachowaza, lengo la meditation hii ni kwenda kinyume na perception ya mazingira uliyopo......!!!!
 
E

empty mind

Member
Joined
Oct 27, 2018
Messages
49
Points
95
E

empty mind

Member
Joined Oct 27, 2018
49 95
Kupiga mbonji na kugegeda ndo meditation zangu! kama kugegeda sijui unajisikia uko wapi wapi tu hasa wakati wa wazungu wanataka kutoka! nanguvu huongezeka maradufu unaweza hata mnyanyua tembo...!
Hahaha hahahahaha hahaha!!!!!!!!!! We ni nomaaa
 
M

Mfia dini

Senior Member
Joined
Jun 20, 2019
Messages
190
Points
225
M

Mfia dini

Senior Member
Joined Jun 20, 2019
190 225
Amaa kwel wachaw weng siku hz ,mwingine nimemkuta anafunza watu astral protection(kutoka nje ya mwili)
Mwenyezi Mungu atunusuru
 
babyfancy

babyfancy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Messages
248
Points
500
babyfancy

babyfancy

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2018
248 500
Hii wala sikushauri ujaribu hutaweza hii ni level ya juu na practice ya muda mrefu, naweza kukushauri kujaribu kuacha kupumua kwa sekunde 30, ukifanikiwa acha kwa dakika nzima, endelea mpaka uweze dk 5 na kuendelea, yani huvuti pumzi ndani wala kuitoa nje... Hapo ulipo unaweza kujaribu
Hii ndio death meditation, unakuwa na uwezo wa kutopumua kabisa kwa muda fulani, lakini Kiuhalisia sio kwamba hupumui bali huo mchakato unafanyika kupitia matundu mengine ya mwili kama vinyeleo nk, ila inahitaji mazoezi ya muda mrefu sana
Wale wenye uzoefu na hii kitu hupenda kuwashangaza watu kwa kuomba wazikwe kwa masaa kadha huku mkono tu ama mguu tu ukiachwa nje ya jeneza na kisha kaburi
Ni mchakato wa kutisha na kuogofya sana kwakuwa Kama akishindwa manake mna kesi ya kuua bila kukusudia..
Baada ya masaa husika kupita yenye mashaka mengi hatimaye mnamfukua na kumkuta hai bukheri wa afya
Unaposikia ku develop supernatural powers ndio huku uwezo wa kupumua bila kutumia pua wala mdomo
Meditation nyingine inayofanana na hiyo ni ile ya kuwekwa kwenye jeneza na kuachwa pekeyako kwenye chumba cha giza, kama mjuavyo jeneza ni nyumba ya mfu kwahiyo tayari linakuwa na ile roho ya umauti, na hata wewe mwenyewe kihisia utahisi uko kwenye ulimwengu mwingine kabisa
Kuna baadhi waliojaribu hii aina ya pili walishindwa na kupiga kelele huku wakidai kuwa ile hali ya kufungiwa kwenye jeneza ndani ya chumba cha giza totoro na ukimya vimewakutanisha na wafu
All in all hii ni perception tu inakuletea uhalisia wa kile unachowaza, lengo la meditation hii ni kwenda kinyume na perception ya mazingira uliyopo......!!!!
Weee thubutu bebe wangu bado ananipenda akiniacha ntajaribu
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
3,862
Points
2,000
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
3,862 2,000
Amaa kwel wachaw weng siku hz ,mwingine nimemkuta anafunza watu astral protection(kutoka nje ya mwili)
Mwenyezi Mungu atunusuru
Wengi wao ni waongo tu..wana copy na ku pest..halafu wanaremba kidogo!
Hii ni kutafuta aina ya heshima flani toka kwa wale box tupu!
 
Forum statistics

Threads 1,315,265
Members 505,171
Posts 31,851,862
Top