Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

Mbona hata diving kwenye maji inahitaji kubana pumzi vile vile, na hakuna issue; bala kama usemavyo ni mazoezi tu.
 
FB_IMG_1657373612907.jpg
 
Sasa Mshana mimi huwa sikuelewi kwakweli.Hayo unayosema yanafaida gani kwa sisi watanzania.Labda kama tukimeditate tunagundua njia za kuinua uchumi hapo tutakuwa pamoja.Au unatufundisha namna ya kuachana na mwili?
Mchawi tu huyo. Mambo ya kuzimu hakuna kumediteti wala nini.
 

Similar Discussions

37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom