Medical laboratory vs pharmaceutical sciences

unaanza linganisha tanzanite na dhahabu akati yote yanathamanii...
 
Nashauri pharmacy sababu ni rahisi kujiajil baada ya masomo kuliko maabara vifaa vyake ni ghari japo kama unauwezo nayo waweza kujiajir ile inahitahitaji chemicals, microscope na vinginevyo bt phamacy ni madawa tuu uwe nayo
 
Kwa hatua ambazo msajili wa pharmacy council ameanza kuchukua,pharmacy ni bora kuliko maabara.
Mwanzo hawa wafamasia waliruhusu ujinga ujinga mwingi eti kila mtu anaweza kuwa mfamasia ili tu wake zao,na mahausi girl wao waruhudiwe kuuza dawa.
Wanavisingizio vingi sana eti dawa ni huduma muhimu na zinahitajika,na wao ni wachache kwa hiyo kila MTU anaweza tu kuruhusiwa kuuza ili mradi afuate sheria.Swali likawa anawezaje kufuata sheria wakati hajui?
 
Acha kufata umaarufu hizi ndo best diploma za afya
D.Radiography
Optometry
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom