Medical laboratory vs Clinical medicine

Jul 26, 2016
25
8
Wanajukwaa please kwa heshima na tahadhima naomba kujua kati ya kozi tajwa hapo juu ni ipi nzuri kusoma kwa sasa kwa uzoefu na ujuaji wenu

Asanteeeni nyote
 
Ngoja waje waelezeee watu wengi nitakuja
Lakini Clinical medicine ni nzuri na ajira nje nje nje. Sema sijajua kwa ugumu ipi ni nzuri labda wangeeleza apo
 
Ukishajua iwe vipi?????
Hebu Tulia Usome Dogo Acha Uvivu na Kushauka Na Maneno Ya Vijiweni Hakuna Kozi bora usipokuwa bora wewe mwenyewe....
 
Mbna hjajibu swali mkuu ebu usitafute umaarufu usio na sababu.....jiheshimu hkuna MTU aliyefanikiwa bila kuomba ushauri na mawazo ya wngine panya wewe
Ukishajua iwe vipi?????
Hebu Tulia Usome Dogo Acha Uvivu na Kushauka Na Maneno Ya Vijiweni Hakuna Kozi bora usipokuwa bora wewe mwenyewe....
 
Zote ni nzuri but ukisoma Clinical medicine yaani Doctor of medicine utakuwa ni Daktari wa Binadamu na ukisoma medical laboratory kwa level ya degree utakuwa Technologist mtaalamu wa maabara But pia Diploma in Clinical medicine yaani Clinical officer na Diploma ya medical laboratory! pia zipo .
 
Back
Top Bottom