Medical Council of Tanganyika (MCT) na ubaguzi kwa Wazanzibar

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,032
12,585
Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya Muungano, ila lwanini sisi Wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili?

Mnajua kabisa usipokuwa na l
Leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwanini msitufungulie tuombe?

MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU ana haki ya kuomba tufungulieni system tuimbe leseni
 
Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya muungano, ila kwann sisi wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili ? Mnajua kabisa usipokuwa na leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwann msitufungulie tuombe ?

MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU ana haki ya kuomba tufungulieni system tuimbe leseni
Nyie wenyewe wabaguzi kwa watu wabara kuliko maelezo, Mtu kutoka bara kwa unguja kufanya kazi kwa level ya meneja ni zaidi ya kuwa adui . Wakenya wanafanya kazi kwa amani kuliko sisi ndg zenu wa bara au Tanganyika kama mnavyopenda kutuita. Usimweleze chochote staff kesho yake utaona coaster nzima na watu kibao wanakujia na lugha nyepesiii eti umesema hutaki kufanya kazi na wazanzibar,
Alafu mnalia kubaguliwa wakati mmejazana huko bara, ukienda Kigamboni huko utafikiri Mwera, au machui, au jambiani.
Acheni kutumia lugha za ubaguzi kila kitu tunabaguliwa, wewe kama Dr umesjindwa hata kupiga simu ukauliza na kupata maelezo sahihi unakimbilia huku mitandaoni.
Aisee mimi na wamaindi sana make mlininyanyasa huko kwenu, mara siyo mtanzania, mara sijui nini kisa tu nimeajiriwa kutoka bara, ili hali kuna watu kutoka sehemu mbalimbali na wanafanya kazi, wakenya,waganda,wacuba,wahispania, nk lkn sisi wa kutoka bara hamtaki kutisikia
 
Mkuu kwa hili nawaunga mkono MCT nyie wazanzibar n wabaguz Sana

Kuomba ajira huko Zanzibar mpaka uwe na kitambulisho cha mzanzibar mkaz imagine mm natoka hku bara nakipataje hicho kitambulisho

Ajira za za wazanzibar kwa huku bara ziwe zile zilizo katika wizara zinazoingiliana tu hiz nyingine mtuachie mmezid ubaguz
 
Tukisema Wabara hawaajiriwi Zanzíbar inakiwahaileti picha kamili, ninao ushahidi wa Wabara kibao kwenye smz hususan vikosi vyao, kama jawaajiriwi ilikuwaje Mwinyi (baba) na Jumbe wakaupata uraisi ?
Sisemi kuwa ni rahisi, ila wapo na wanaendelea kukiwepo , ushahidi UPO na Wazanzibari wenyewe wanalijua hilo.
 
Tulia andika vizuri
 
Mkuu kwa hili nawaunga mkono MCT nyie wazanzibar n wabaguz Sana

Kuomba ajira huko Zanzibar mpaka uwe na kitambulisho cha mzanzibar mkaz imagine mm natoka hku bara nakipataje hicho kitambulisho

Ajira za za wazanzibar kwa huku bara ziwe zile zilizo katika wizara zinazoingiliana tu hiz nyingine mtuachie mmezid ubaguz
Mkuu hao wabaguzi kuliko maelezo,hata ukifungua duka wakajua kuwa wewe ni mbara utasikia "Usiendeeeee kununua kwa hiyo mbaraaaaaa,nunua kwa pale kwa Iddiii" Hawa wezentu sio watu kabisa wabaguzi kinoma.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Naunga hoja..hao ulojo siwapendi...
Mkuu kwa hili nawaunga mkono MCT nyie wazanzibar n wabaguz Sana

Kuomba ajira huko Zanzibar mpaka uwe na kitambulisho cha mzanzibar mkaz imagine mm natoka hku bara nakipataje hicho kitambulisho

Ajira za za wazanzibar kwa huku bara ziwe zile zilizo katika wizara zinazoingiliana tu hiz nyingine mtuachie mmezid ubaguz
 
Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya Muungano, ila lwanini sisi Wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili?

Mnajua kabisa usipokuwa na l
Leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwanini msitufungulie tuombe?

MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU ana haki ya kuomba tufungulieni system tuimbe leseni
Yakhe Nyie Mbona hamtaki tuoe Dada zenuuu, Ushanfahamu Amìii ?
 
Nyie wenyewe wabaguzi kwa watu wabara kuliko maelezo, Mtu kutoka bara kwa unguja kufanya kazi kwa level ya meneja ni zaidi ya kuwa adui . Wakenya wanafanya kazi kwa amani kuliko sisi ndg zenu wa bara au Tanganyika kama mnavyopenda kutuita. Usimweleze chochote staff kesho yake utaona coaster nzima na watu kibao wanakujia na lugha nyepesiii eti umesema hutaki kufanya kazi na wazanzibar,
Alafu mnalia kubaguliwa wakati mmejazana huko bara, ukienda Kigamboni huko utafikiri Mwera, au machui, au jambiani.
Acheni kutumia lugha za ubaguzi kila kitu tunabaguliwa, wewe kama Dr umesjindwa hata kupiga simu ukauliza na kupata maelezo sahihi unakimbilia huku mitandaoni.
Aisee mimi na wamaindi sana make mlininyanyasa huko kwenu, mara siyo mtanzania, mara sijui nini kisa tu nimeajiriwa kutoka bara, ili hali kuna watu kutoka sehemu mbalimbali na wanafanya kazi, wakenya,waganda,wacuba,wahispania, nk lkn sisi wa kutoka bara hamtaki kutisikia
Dah mkuu ni kweli haya?
 
Dah mkuu ni kweli haya?
Siongei kwa kufurahisha jukwaa bali naongea yalionikuta mimi mwenyewe, ofisi yangu iliamia kwenye ofisi za serikali, kuanzia kwa shekha mpaka kwa Commissioner. Hivo wewe amini tu hivo, Mzanzibar anafungua bar na anauza pombe, wewe kutoka bara ukufungua bar au restaurant eneo lile lile unaambiwa hii ni nchi ya kiislam sasa unabaki unajiuliza hivi hawa watu wanajua huyu Mungu wanaye mtumikia au wanatumikia dini yenye lugha ya fulani. Zanzibar ukitaka uishi vizuri labda uwe kibarua na usiyeingilia masilahi yao wakuite mnyamwezi basi.
Nimewahi kushudia mtu amegongwa na gari na hajafa anaomba msaada lkn wanakuja wanachungulia tu nakusema huyu ni mnyamwezi, unabaki unajiuliza mnyamwezi siyo mtu? Siyo binadamu?
Kuna rafiki yangu ana kampuni ya Safety na Risk assesment aliwahi kupata tenda kukagua usalama wa minara ya simu ya kampuni fulani, kuanzia bara mpaka Unguja lakini kwa Unguja ilishindikana, ikabidi aingie tena ubia na kampuni iliyoko Unguja. Hawa watun wanafursa nyingi sana lakini haziwatumii wamekalia chuki, majungu na ubinafsi. Wapemba wanamaendeleo kulikuwa wazawa wa unguja.
Ukiwa bara unaweza kuamini kwamba kuna Muungano lakini ukija huku unagundua muungano upo kwenye makaratasi. Mimi nimewahi kukamatwa mara kibao nnikiendesha gari kwa kutumia leseni ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, naambiwa natakiwa niwe na leseni ya Zanzibar. Mimi situmii leseni ya Tanganyika natumia leseni ya JMT nakamatwa na askari polisi ambaye ana nembo ya JMT, does it make sense?
 
Hapa ndipo mtamkubali mhe.Raisi ambae ameanzisha vikao vya wizara za muungano za bara na kisiwan ...sasa swala msingi ni waweze kuzi discuss
 
Simu hawapokei na kuna zingine hazipatikan kabisa

Kama kweli wanafanya huu uduanzi wabaki uko uko kwao na ajira wapewe uko uko
 
hao wana roho ya kusonipata balaa... alafu wengi wao hamna kitu kichwani ila wanavyojikuta sasa..
 
Back
Top Bottom