Medical consultation/ vipimo na ushauri wa kiafya kwa siku nne. Fanya booking mapema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Medical consultation/ vipimo na ushauri wa kiafya kwa siku nne. Fanya booking mapema.

Discussion in 'JF Doctor' started by Elizaa, Apr 2, 2012.

 1. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama unataka majibu na suluhisho la matatizo yako kiafya!

  Fanya appointment na Dr Johnny P. Brinkmann  Atakuwepo Dar es salaam kuanzia tarehe 18/04/2012 mpaka tarehe 21/04/2012 akiwa na vifaa maalum na vya kisasa kabisa Meridian Imaging equipment. Vyenye uwezo wa kuweka wazi matatizo uliyonayo kiafya au kwenye organ. Hii ni pamoja na spine, Kifaa hiki ni kimoja tu hapa East Africa Imported from USA.

  Gharama ni Tsh 30,000/=

  KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA CORNWELL TANZANIA: A CONTRIBUTION FROM OUR HOST DR JOHNNY BRINKMANN ON THE MEDICAL CONSULTATION DAY IN DAR ES SALAAM

  NA


  MWANAMKE WA NGUVU/ WOMAN OF POWER: KUTOKA KWA DR JOHNNY BRINKMANN
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ataishia Dar tu, je Arusha hapiti?
  Ningefurahia sana ukimshauri aje Arusha!
   
 3. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna uwezekano mkubwa tukaja huko kama atakubali, tumekuwa kwenye mazungumzo kuhusu mikoani, ila pia ujue haya ni maandalizi ya kufungua clinic yenye maabara ya kisasa kabisa East Africa. Clinic itakuwa Dar
   
Loading...