Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
Bunge halina mvuto wwteMiaka ya nyuma Bunge la bajeti lilikuwa moja ya vikao vikubwa vya kibunge ambavyo vilitoa mwanga na dira ya Taifa linapokwenda. Media zote macho yalitupwa bungeni na wabunge mahiri wote ndio ilikuwa kipindi chao.
Mwaka huu asilimia kubwa ya watu ukiwauliza tu ni wizara ngapi Hadi Sasa zimeshawasilisha bajeti hawajui.
Lakini kikubwa Ni pale hata TBC inapolipa bunge kipaomwisho na kuripoti habari za bunge wanavyojisikia au wakati ambao viongozi wa serikali hawatumii masafa.
Kwanini bunge limeshuka hadhi kwa kasi hivi?
Hizo ndiyo dharau za watanzania wakiamua kukupuuza siku hizi hata mbunge wakipita mbele za watu anaonekana tapta tu,sio kama enzi za JK ukikumbuka akina ole sendeka,marehemu Fill kunjombe na wengine wa upinzani utapenda fuatilia bunge hasa wakijadili riport ya CAG lazima mtu aachie ngazi.Tutamkumbuka JK kwa demokrasia hiiMiaka ya nyuma Bunge la bajeti lilikuwa moja ya vikao vikubwa vya kibunge ambavyo vilitoa mwanga na dira ya Taifa linapokwenda. Media zote macho yalitupwa bungeni na wabunge mahiri wote ndio ilikuwa kipindi chao.
Mwaka huu asilimia kubwa ya watu ukiwauliza tu ni wizara ngapi Hadi Sasa zimeshawasilisha bajeti hawajui.
Lakini kikubwa Ni pale hata TBC inapolipa bunge kipaomwisho na kuripoti habari za bunge wanavyojisikia au wakati ambao viongozi wa serikali hawatumii masafa.
Kwanini bunge limeshuka hadhi kwa kasi hivi?
Sawa, kwa mtazamo wa kila mtu ni serikali, lakini bunge ni wananchi (masikini yangu, sijui nimeeleweka)Bunge ni serikali ndio ninamaanisha.
Utaitwa na kamati ya bunge ukahojiweJob ndugai amefanya Bunge kiwe chombo cha hovyo kisicho na thamani,,yaani afadhali na CWT au Tucta ki utendaji na sio bunge la huyu mpuuzi,,,