Media zetu zote hazina taarifa ya mjadala wa bajeti toka Bunge lianze. Aidha watu wamelichoka Bunge au limekosa hoja za kushika masikio ya wananchi

Miaka ya nyuma Bunge la bajeti lilikuwa moja ya vikao vikubwa vya kibunge ambavyo vilitoa mwanga na dira ya Taifa linapokwenda. Media zote macho yalitupwa bungeni na wabunge mahiri wote ndio ilikuwa kipindi chao.

Mwaka huu asilimia kubwa ya watu ukiwauliza tu ni wizara ngapi Hadi Sasa zimeshawasilisha bajeti hawajui.

Lakini kikubwa Ni pale hata TBC inapolipa bunge kipaomwisho na kuripoti habari za bunge wanavyojisikia au wakati ambao viongozi wa serikali hawatumii masafa.

Kwanini bunge limeshuka hadhi kwa kasi hivi?
Bunge halina mvuto wwte

Its not over until its over...
 
Nakumbuka miaka ya nyuma ulikuwa ukipita kila sehemu, madukani, hotelini, mabar, vijiwe vyakahawa, masokoni unakuta watu wanaangalia au wanasikiliza bunge.
Na hii ilisaidia vijana wengi na kina mama kujiingiza kwenye siasa au kuweza kujenga hoja kutokana na anavyoona wabunge walivyokuwa wanajadili.
Sasa ni kama amna tena bunge, yaani ni kama kitu kilikuwepo kikajifia sasa imebidi watu wakisahau.
 
Miaka ya nyuma Bunge la bajeti lilikuwa moja ya vikao vikubwa vya kibunge ambavyo vilitoa mwanga na dira ya Taifa linapokwenda. Media zote macho yalitupwa bungeni na wabunge mahiri wote ndio ilikuwa kipindi chao.

Mwaka huu asilimia kubwa ya watu ukiwauliza tu ni wizara ngapi Hadi Sasa zimeshawasilisha bajeti hawajui.

Lakini kikubwa Ni pale hata TBC inapolipa bunge kipaomwisho na kuripoti habari za bunge wanavyojisikia au wakati ambao viongozi wa serikali hawatumii masafa.

Kwanini bunge limeshuka hadhi kwa kasi hivi?
Hizo ndiyo dharau za watanzania wakiamua kukupuuza siku hizi hata mbunge wakipita mbele za watu anaonekana tapta tu,sio kama enzi za JK ukikumbuka akina ole sendeka,marehemu Fill kunjombe na wengine wa upinzani utapenda fuatilia bunge hasa wakijadili riport ya CAG lazima mtu aachie ngazi.Tutamkumbuka JK kwa demokrasia hii
 
Back
Top Bottom