Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 797
- 1,264
Tulianza kuona Clouds Media group wakifungiwa kwa muda wa siku 7...hawa walijichanganya kwenye ishu za kisiasa
Jana tumeona ndugu zao tena Wasafi media wamekula ban ya siku 7 hawa ndo labda walitakiwa wafungiwe mwezi mzima kabisa ili iwe fundisho maana sio kwa matusi yale waliokuwa wakiongea hewani.
Ni ukweli usiopingika, media zote za Tanzania kwa sasa zimeacha kutoa ajira kwa professional journalism na kuanza kuajiri watu wa ajabu ajabu tu, kisa tu mtu ni maarufu au ni mpiga domo basi anapata ajira....hayo ndo matokeo yake sasa
Eti leo hii namsikiliza Mwijaku?!
Eti leo hii namsikiliza Juma lokole?!
Eti leo hii namsikiliza Stive Nyerere?!
Eti leo hii namsikiliza Babalevo?!
TCRA big up sana , fungieni hao mpaka akili ziwakae sawa.