mzozaji
JF-Expert Member
- Jul 28, 2010
- 255
- 15
Wadau nadhani mmeona jinsi waandishi wa habari za Tanzania walivyo vigeugeu, siku ya kwanza ya uchaguzi walikuwa wanaripoti kuwa kuna mwamko mkubwa sana na watu wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura na mpaka wagonjwa wamekwenda kupiga kura. Matokeo yake baadae imejulikana kuwa waliopiga ni asilimia 42% tuu ya waliojiandikisha! Je hawa ni vilaza wa kukurupukia mambo bila utafiti.? Ona akina Masako wa ITV walivyokuwa wakiripoti kana kwamba kila mtu alipiga kura. Halafu pia raisi walisema watoto ndio wengi zaidi Tanzania, sasa hiyo milioni 20 waliojiandikisha ilitoka wapi?