Media Za Tanzania Bado Ziko Nyuma, Kenya Wako Mbele.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,089
2,000
Wakuu
Waandishi na wanahabari wa Tanzania wamelala mno maana nalinganisha jinsi kenya vyombo vyao vilianza kuripoti uchaguzi wetu mwaka mmoja kabla hadi kura za maoni za vyama hadi uchaguzi mkuu wao wakenya wakawa wanapata taarifa zetu ajabu sasa Bongolalas kama wanavotuita wakenya tumelala kweli
Joto la uchaguzi kenya liko juu mno lakini media za bongo hakuna update yoyote yaani wapo wapo tu.
Sasa kuta waandishi wakiwa wanachambu udaku utaona wanavokua na furaha ya karne.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom