Media za Burundi zimenena haya juu ya Tundu Lissu kukamatwa-Part II

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,436
TOFASIRI

Ujirani kati ya Tanzania na Rwanda umezidi kuingia dosari baada ya duru za kipelelezi za Rwanda kushirikiana na chama cha CHADEMA, chama hasimu dhidi ya serikali inayoongozwa na ndugu Magufuli. Ndani ya week hii, mwanasiasa machachali na maarufu aliyekaririwa akimtukana Rais Magufuli alikamatiwa uwanja wa ndege wa Dar es salaam akielekea Rwanda.

Kuhusu mwanasiasa huyu, vyanzo vya mbalimbali vya habari vinaeleza kuwa TUNDU LISSU ana urafiki wa karibu na Kagame ikiwa ni pamoja na mgombea wa kiti cha Urais ndugu LOWASSA. Inasemekana kagame alimpa support LOWASSA (msaada?-emphasis is mine) kwenye uchaguzi, Lakini Lowassa alishindwa na Rais Magufuri wa chama cha CCM.

“Huyu mwanasiasa, Tundu Lissu ambaye yuko gerezani, alitaka kwenda Rwanda, inasemekana alitaka kwenda kupewa mbinu na bwana Kagame”.

Tunawakumbusha kuwa uhusiano/ujirani wa Tanzania na Rwanda ulikuwa umeanza kuwa mzuri lakini kinyongo/fitina za kagame zimeanza kutonesha vidonda.

Siku zilizopita, Rais Nkurunziza alimtembelea Rais mwenzake wa Tanzania na kupokelewa vizuri sana na kwa heshima pamoja na kupigiwa mizinga kumi na mbili. Rais Magufuli alimwomba mwenzake (Nkurunziza) kuhusu uwezekano wa shrika la ndege la Tanzania kuanza safari zake nchini Burundi. Na kuwataka wale wanaosema kuwa hakuna usalama nchini Burundi, waende wajionee.

Hii ilipelekea wakimbizi wengi wa Kirundi waishio Tanzania kujiandikisha kurejea nchini mwao kama walivyoombwa na Rais Magufuri na Nkurunziza.

Credit to Gama kwenye uzi wake:Media za Burundi zimenena haya juu ya Tundu Lissu kukamatwa
========================================================
Umubano w'u Rwanda na Tanzania wongeye kuzamo igitotsi nyuma yaho inzego ziperereza z'u Rwanda zongeye gukorana nishyaka rya CHADEMA ritavuga rumwe na leta iyobowe na Magufuri.

Muriki cyumweru uwitwa Tundu Lissu umudepite uherutse gutuka perezida Magufuri yafatiwe kukibuga k'indege cya Dar es salaam aje mu Rwanda.

Uyu mudepite ibinyamakuru binyuranye biravuga ko Tundu Lissu afitanye imikoranire yahafi na Kagame nacyane ko umukandida wishyaka ryari rihanganye na CCM bwana Lowassa Kagame yamuteye inkunga kugirango atsinde amatora ariko birangira Lowassa atsinzwe na perezida Magufuri wo mwishyaka rya CCM.

Uyu mudepite Tundu Lissu ufunzwe waruje mu Rwanda biravugwa ko yaraje guhabwa amabwiriza na Kagame.

Twabibutsa ko umubano wa Tanzania n'u Rwanda warutangiye kuba mwiza ariko inzika za Kagame zongeye kubyutsa intureka.

Ikindi muriyiminsi perezida Nkurunziza uherutse gusura mugenziwe wa Tanzania akakirwa neza nimizinga makumyabiri numwe perezida Magufuri yasabye mugenziwe ko indege za Tanzania zatangira gukora ingendo mu Burundi maze abirirwa bavuga ko ntamutekano uri mu Burundi bakabyibonera.

Hagataho impunzi nyinshi z'Abarundi ziri Tanzania zahise ziyandikisha gutaha kubwinshi nkuko babisabwe naba perezida Magufuri na Nkurunziza.

Tugarutse kumubano wa Tanzania n'u Rwanda iki nikimenyetso ko akarere katagira umutekano Kagame akiri perezida w'u Rwanda.
 
Yaani kagame awe rafiki wa lisu afu rafiki mkubwa wa magufuri ebu composer wa hii propaganda hapo rumumba rekebisha vizuri tungo zako
hapana mkuu, mimi siyo wa Lumumba. nimetofasiri taarifa kama ilivyokuwa reported. nothing more, nothing less...
 
Hongera Prof na asante kwa tafsiri, kuna members humu walikuwa wanaweza kutafsiri ila walikaa kimya na kunitaka niondoe uzi, nadhan wana mgongano wa maslah
 
asante mkuu. kuna kitu nilijifunza kwa baadhi ya wadau kutoheshimu lugha za watu. walitaka thread ifute kwa kuwa iliandikwa Kirundi...lakini nijuavyo mimi, lugha hubeba jamii kama identity na ndo maana mtu akitusi kiswahili, bila shaka atawagusa watz moja kwa moja. kwa maana nyingine, watu hawathamini utu wa warundi na Lugha yao....Sad!
 
TOFASIRI

Ujirani kati ya Tanzania na Rwanda umezidi kuingia dosari baada ya duru za kipelelezi za Rwanda kushirikiana na chama cha CHADEMA, chama hasimu dhidi ya serikali inayoongozwa na ndugu Magufuli. Ndani ya week hii, mwanasiasa machachali na maarufu aliyekaririwa akimtukana Rais Magufuli alikamatiwa uwanja wa ndege wa Dar es salaam akielekea Rwanda.

Kuhusu mwanasiasa huyu, vyanzo vya mbalimbali vya habari vinaeleza kuwa TUNDU LISSU ana urafiki wa karibu na Kagame ikiwa ni pamoja na mgombea wa kiti cha Urais ndugu LOWASSA. Inasemekana kagame alimpa support LOWASSA (msaada?-emphasis is mine) kwenye uchaguzi, Lakini Lowassa alishindwa na Rais Magufuri wa chama cha CCM.

“Huyu mwanasiasa, Tundu Lissu ambaye yuko gerezani, alitaka kwenda Rwanda, inasemekana alitaka kwenda kupewa mbinu na bwana Kagame”.

Tunawakumbusha kuwa uhusiano/ujirani wa Tanzania na Rwanda ulikuwa umeanza kuwa mzuri lakini kinyongo/fitina za kagame zimeanza kutonesha vidonda.

Siku zilizopita, Rais Nkurunziza alimtembelea Rais mwenzake wa Tanzania na kupokelewa vizuri sana na kwa heshima pamoja na kupigiwa mizinga kumi na mbili. Rais Magufuli alimwomba mwenzake (Nkurunziza) kuhusu uwezekano wa shrika la ndege la Tanzania kuanza safari zake nchini Burundi. Na kuwataka wale wanaosema kuwa hakuna usalama nchini Burundi, waende wajionee.

Hii ilipelekea wakimbizi wengi wa Kirundi waishio Tanzania kujiandikisha kurejea nchini mwao kama walivyoombwa na Rais Magufuri na Nkurunziza.

Credit to Gama kwenye uzi wake:Media za Burundi zimenena haya juu ya Tundu Lissu kukamatwa
========================================================
Umubano w'u Rwanda na Tanzania wongeye kuzamo igitotsi nyuma yaho inzego ziperereza z'u Rwanda zongeye gukorana nishyaka rya CHADEMA ritavuga rumwe na leta iyobowe na Magufuri.

Muriki cyumweru uwitwa Tundu Lissu umudepite uherutse gutuka perezida Magufuri yafatiwe kukibuga k'indege cya Dar es salaam aje mu Rwanda.

Uyu mudepite ibinyamakuru binyuranye biravuga ko Tundu Lissu afitanye imikoranire yahafi na Kagame nacyane ko umukandida wishyaka ryari rihanganye na CCM bwana Lowassa Kagame yamuteye inkunga kugirango atsinde amatora ariko birangira Lowassa atsinzwe na perezida Magufuri wo mwishyaka rya CCM.

Uyu mudepite Tundu Lissu ufunzwe waruje mu Rwanda biravugwa ko yaraje guhabwa amabwiriza na Kagame.

Twabibutsa ko umubano wa Tanzania n'u Rwanda warutangiye kuba mwiza ariko inzika za Kagame zongeye kubyutsa intureka.

Ikindi muriyiminsi perezida Nkurunziza uherutse gusura mugenziwe wa Tanzania akakirwa neza nimizinga makumyabiri numwe perezida Magufuri yasabye mugenziwe ko indege za Tanzania zatangira gukora ingendo mu Burundi maze abirirwa bavuga ko ntamutekano uri mu Burundi bakabyibonera.

Hagataho impunzi nyinshi z'Abarundi ziri Tanzania zahise ziyandikisha gutaha kubwinshi nkuko babisabwe naba perezida Magufuri na Nkurunziza.

Tugarutse kumubano wa Tanzania n'u Rwanda iki nikimenyetso ko akarere katagira umutekano Kagame akiri perezida w'u Rwanda.
Umesema media za Burundi sio Rwanda. Kwani haujui Burundi na Rwanda hawaivi? Acha umbea kama hawo warundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see, no wonder...ndo maana wengi mnafeli mtihani. ili kuweka records sahihi, sija-report mimi. nimetoa tofasiri kwa kutoka Lugha ya Kirundi to Swahili ili wengi waelewe kilichoandikwa. And for your information, uzi huu ulishaletwa humu. poa mkuu, ngoja niendelee na umbea wangu.....
 
Mwandishi gani huyu hawezi hata kujua sababu iliyokuwa inampeleka Lissu Kigali;
Mtu anakaa ana compose wishfull thinking harafu wenzake mnamusaidia ku sambaza ujinga.Shame on you!
 
I see, no wonder...ndo maana wengi mnafeli mtihani. ili kuweka records sahihi, sija-report mimi. nimetoa tofasiri kwa kutoka Lugha ya Kirundi to Swahili ili wengi waelewe kilichoandikwa. And for your information, uzi huu ulishaletwa humu. poa mkuu, ngoja niendelee na umbea wangu.....
Kuweka record ni sawa na kukariri anachofundisha mwalimu like copy and paste. Huwezi kutuamonisha utumbo huo mmoja wa mtu asiyetafakari nini anaandalika

By the way Tanzania is a sovereign country ina sheria na taratibu zake katika kuongoza nchi na serikali kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kagame awe rafiki wa lisu afu rafiki mkubwa wa magufuri ebu composer wa hii propaganda hapo rumumba rekebisha vizuri tungo zako
Hii si propaganda bali habari ya muongo juha asiyemjua Kagame,Magufuli na Tundu Lisu pia haijui Tanzania wala Rwanda .
Kubwa zaidi hata dhumuni la TL la kwenda Rwanda halifahamu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema media za Burundi sio Rwanda. Kwani haujui Burundi na Rwanda hawaivi? Acha umbea kama hawo warundi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kujipambanua kuwa mfia Rwanda, vema upunguze hasira maana sie wenzio tumechanwa na Cnn juu ya mategemeo yetu kwenye makenikia lakini hatujalalama kuwa CNN niya akina Barick. Kama hujatumwa basi hujui maana ya uandishi wa makala
 
TOFASIRI

Ujirani kati ya Tanzania na Rwanda umezidi kuingia dosari baada ya duru za kipelelezi za Rwanda kushirikiana na chama cha CHADEMA, chama hasimu dhidi ya serikali inayoongozwa na ndugu Magufuli. Ndani ya week hii, mwanasiasa machachali na maarufu aliyekaririwa akimtukana Rais Magufuli alikamatiwa uwanja wa ndege wa Dar es salaam akielekea Rwanda.

Kuhusu mwanasiasa huyu, vyanzo vya mbalimbali vya habari vinaeleza kuwa TUNDU LISSU ana urafiki wa karibu na Kagame ikiwa ni pamoja na mgombea wa kiti cha Urais ndugu LOWASSA. Inasemekana kagame alimpa support LOWASSA (msaada?-emphasis is mine) kwenye uchaguzi, Lakini Lowassa alishindwa na Rais Magufuri wa chama cha CCM.

“Huyu mwanasiasa, Tundu Lissu ambaye yuko gerezani, alitaka kwenda Rwanda, inasemekana alitaka kwenda kupewa mbinu na bwana Kagame”.

Tunawakumbusha kuwa uhusiano/ujirani wa Tanzania na Rwanda ulikuwa umeanza kuwa mzuri lakini kinyongo/fitina za kagame zimeanza kutonesha vidonda.

Siku zilizopita, Rais Nkurunziza alimtembelea Rais mwenzake wa Tanzania na kupokelewa vizuri sana na kwa heshima pamoja na kupigiwa mizinga kumi na mbili. Rais Magufuli alimwomba mwenzake (Nkurunziza) kuhusu uwezekano wa shrika la ndege la Tanzania kuanza safari zake nchini Burundi. Na kuwataka wale wanaosema kuwa hakuna usalama nchini Burundi, waende wajionee.

Hii ilipelekea wakimbizi wengi wa Kirundi waishio Tanzania kujiandikisha kurejea nchini mwao kama walivyoombwa na Rais Magufuri na Nkurunziza.

Credit to Gama kwenye uzi wake:Media za Burundi zimenena haya juu ya Tundu Lissu kukamatwa
========================================================
Umubano w'u Rwanda na Tanzania wongeye kuzamo igitotsi nyuma yaho inzego ziperereza z'u Rwanda zongeye gukorana nishyaka rya CHADEMA ritavuga rumwe na leta iyobowe na Magufuri.

Muriki cyumweru uwitwa Tundu Lissu umudepite uherutse gutuka perezida Magufuri yafatiwe kukibuga k'indege cya Dar es salaam aje mu Rwanda.

Uyu mudepite ibinyamakuru binyuranye biravuga ko Tundu Lissu afitanye imikoranire yahafi na Kagame nacyane ko umukandida wishyaka ryari rihanganye na CCM bwana Lowassa Kagame yamuteye inkunga kugirango atsinde amatora ariko birangira Lowassa atsinzwe na perezida Magufuri wo mwishyaka rya CCM.

Uyu mudepite Tundu Lissu ufunzwe waruje mu Rwanda biravugwa ko yaraje guhabwa amabwiriza na Kagame.

Twabibutsa ko umubano wa Tanzania n'u Rwanda warutangiye kuba mwiza ariko inzika za Kagame zongeye kubyutsa intureka.

Ikindi muriyiminsi perezida Nkurunziza uherutse gusura mugenziwe wa Tanzania akakirwa neza nimizinga makumyabiri numwe perezida Magufuri yasabye mugenziwe ko indege za Tanzania zatangira gukora ingendo mu Burundi maze abirirwa bavuga ko ntamutekano uri mu Burundi bakabyibonera.

Hagataho impunzi nyinshi z'Abarundi ziri Tanzania zahise ziyandikisha gutaha kubwinshi nkuko babisabwe naba perezida Magufuri na Nkurunziza.

Tugarutse kumubano wa Tanzania n'u Rwanda iki nikimenyetso ko akarere katagira umutekano Kagame akiri perezida w'u Rwanda.
Upuuzi. Lissu alikuwa anaelekea Kigali kwenye mkutano wa mawakili wa EAC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom