Media, Tumedhalilishwa!, Tumejidhalilisha!. Ni Matokeo ya Sheria Mbovu, Umasikini, Dawa ni Kuunganisha Habari na UtangazajI, Tulipwe Fungu Nene!.

Media/wanahabari wepi maana nyie sahvi hata watu hawawatambui wala kuwafatilia
Watu wanawafatilia wakina zembwela,kitenge,wakina lokole dida
Nk wao ndy wanaonekana ndiyo wanahabari sahihi kwa wabongo

Ova
True
p
 
Back
Top Bottom