Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,681
- 119,317
Wanabodi
Nikiwa mwandishi wa habari na kumetokea changing guards kwenye tasnia ya media, sio vibaya kumuaga anayeondoka na kumkaribisha aliyekuja.
Kwaheri Nape Moses Mnauye.
Naomba nisiseme mengi juu yako ila you played your part very well, umeingia kishujaa, umeisimamia media kishujaa na umeondoka kishujaa. Pole kwa kilichokutokea kama sio malipo kwa matendo yako ya nyuma, then karma itakulipia na sote tutashuhudia ila kwa vile sio wengi wanaojua karma ni nini, then sisi wachache tunajua tutawakumbusha.
Karibu Dr.Harrison Mwakyembe
Karibu sana Dr.Mwakyembe, kwa vile ni mwanahabari, mwanasheria, then we have a very high regards of you.
Somo lako la Kwanza Liwe ni Uzalendo.
Zamani ulipokuwa newsroom pale Uhuru/Mzalendo, media zilikuwa mbili tuu, radio na magazeti, tena radio yenyewe ilikuwa moja tuu RTD na magazeti mawili, Daily News/Sunday New naUhuru/Mzalendo.
Sasa media ziko 4, Radio, TV, Magazeti na Online. Kwenye Radio na TV hakuna shida sana kuhusiana na uzalendo, ila kwenye Magazeti kuna shida kidogo, kaa nao wafundishe uzalendo ili kusitokee kufungiana magazeti.
Kabla hujakutana na wahariri nakuomba uendeshe semina fupi ya what is news kwenye mamlaka yako ya uteuzi.
Maana leo nimemsikia akikasirikia kutokea kwa ile habari ya leo kwenye kurasa zote za mbele za magazeti yanayojua what is news ukiacha vile vipeperushi.
Mshauri kuwa media ni tasnia inayopenda kutimiza majukumu yake kwa uhuru na bila kuingiliwa, mwambie media hawapendi kutishiwa na asitangaze vita na media kwa sababu he will be the final looser with everything to loose and nothing to gain.
Mwambie media tunampenda sana ila amezidisha ukali kiasi kwamba wote waliomzunguka wanamuogopa kumwambia, ila kuna mambo anafanya ni sio kabisa hivi sisi media tutaendelea kumwambia kwa lengo la kumsaidia. Msisitizie mambo mengine hayahitaji hasira.
Social Media
Huku ndiko kwenye kazi kweli kweli kwa sababu kila anayejua kusoma na kuandika, huku yeye ndio mwandishi, ndie editor na ndie publisher, hivyo there is nothing you can do zaidi ya ku behave siri za ndani kwako zisitoke nje.
The best way to deal with social media ni kuwa friendly. Huko huwezi kufungiana na wengine hata kujua wako wapi ni shida, hivyo you have to behave upende usipende.
Nimemsikia boss yuko busy hana time ya kushinda mitandaoni ila kila akiongea anajibu hoja za mitandaoni, hivyo wenye akili tumeelewa.
Ubabe, mikwala na udikikteta unaweza kusaidia kudhibiti na kuogofya kule kungine kote lakini humu mitandaoni hakuwezi kusaidia.
Wana mtandao tunataka tuu muendeshe mambo yenu yote kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, mkiwa na obligation not only to do the right thing, at the right time, but also do it right.
Karibu Sana
Paskali