Media kususia habari za fulani: Je, Tanzania tuna Independent Media yenye jeuri hiyo?

Wanabodi,

Only some few media zenye independent editorial policy, ndio zita implement hili la kususia kwa sababu wanayo jeuri hiyo ya kususa. Media nyingine zote zikiwemo media zote za umma, media zote za serikali, media za chama na media zenye njaa (ambazo ndio nyingi zaidi), hazina jeuri hiyo ya kususia habari za fulani!.

Tusitegemee media kama TBC, RTD, Daily News, Habari Leo, Uhuru-Mzalendo, Radio Uhuru, Idara ya Habari Maelezo na mitandao ya kijamii, kususia.

Huko nyuma tuliwahi kujadili hili kwenye mada hiiWaandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya

Hivyo waandishi wa habari waajiriwa, hawana jeuri ya kususia habari za mtu yoyote kwa sababu ni watumwa, huko kususa, ni hasira za uchungu wa kuvamiwa kwa Clouds media, hasira zikipoa, wataendelea kuandika habari za huyo msuswa.

Waandishi wenye jeuri ya kususia kuandika au kuripoti habari fulani ni ama sisi waandishi wa kujitegemea, au waandishi ambao ndio media owners kama kina Manyerere na Balile ambao wanamiliki gazeti.

Kwenye hii kada ya waandishi wa kujitegemea, tuko wa aina mbili, aina ya kwanza ni "freelance journalist", hawa wanaandika na kuitegemea hiyo habari ndio imlipe, newsroom nyingi zinalipa 3,000, 5,000 kwa habari moja itakayotoka, na labda 10,000 kama habari itakuwa ndio lead story!, huyu mwandishi akifanikiwa ku file story 1 tuu kwa siku na ikatoka, mwisho wa mwezi atavuta 90,000 tuu!. Waandishi wa kada hii ndio hutegemea "bahasha" to survive!.

Kada ya pili ni "independent journalists", kada hii ndiko mimi niliko, inahusisha kuandika watu wanaoandika habari au makala just for the love of it, wengi wa kada hii tunazo shughuli zetu nyingine za kufanya kuendesha maisha yetu and to make our living, hivyo hatutegemei malipo yoyote kwa stories tunazotuma, mfano mimi silipwi hata senti tano kwa stories ninazofile kwenye media. Kundi hili ndio kundi kama la kina Mjengwa, Mzee Mwanakijiji etc, etc, enzi zile Mwanakijiji akitoa kile kijarida cha Cheche, alikitoa bure nasi tulikitawanya bure!. Kwa sasa Mjengwa, Mwanakijiji na wengine, ni waandishi wa makala mbalimbali kwenye magazeti mbalimbali. Kwa kawaida magazeti yanapaswa kuwalipa, sidhani kama wanaandika ili kujipatia hivyo vijisenti na I doubt hata kama wanachukua!. Kundi hili ndilo hatutumwi na mtu na hatumtumikii mtu zaidi ya jamii!. Sisi ndio wenye jeuri ya kususa.

Ila watu kama mimi kama Paskali, ni mwandishi wa kujitegemea, sijaajiriwa na yoyote, wala situmwi na yoyote, na siitegemei media yoyote kutumia habari zangu kwa sababu mwamuzi ni mimi ndio ninaamua habari gani niandike na media ipi nipeleke, kama ni gazeti, huamua gazeti gani nipeleke, au kama ni kwenye TV na redio, mimi mwenyewe ndio huamua pa kuipeleka!, hivyo nikiamua kugoma, naweza kugoma kiukweli kweli!, hivyo waandishi wenye uwezo wa kususia habari zozote ni wale tuu ambao sio "watumwa" yaani wale waandishi wanaojitegemea na sio hawa "watumwa" wanaotegemea vyombo vya habari!.

Bado naendelea kulia humu jukwaani jf, tuna tatizo kubwa la kuukubali ukweli halisi "is" na kuukumbatia ukweli tunaoutaka "ought". Mimi ni mtu wa mkweli wa ukweli halisi "is" na sio so "ought" ambao ndio ule ukweli ambao wengi wanaupenda kuusikia, yaani ukweli wa kujifurahishia.

Kususia kifo cha Daudi Mwangosi kulidumu kwa siku moja tuu ya uchungu ule, hivyo amini msiamini kesho Bashite akiitisha Press Conference, hamtaamini macho yenu.

Let's hope for the best ya hiki kisuso this time, sijui kitadumu kwa muda gani na ni media zipi bold enough kususa!.

Hongera JF nilinote hili jina la Bashite limefutwa.
Paskali.
Nafanya follow up ya kususia habari za fulani.

Paskali
 
Ha ha ha ha, wameshaanza kumrusha bila hata kukaa kikao cha kukubaliana.
Usiseme wameanza, sema baadhi ndio wameanza, mimi niko Saba Saba, nimemrekodi huyu Mhe kwenye program yangu, ambayo sio program ya bure ni ya kulipia na imelipiwa, amini usiamini, kipindi kilikataliwa mahali, ikanibidi nimnyofoe ndipo warushe kipindi changu!.

Kwenye media kuna media na media, kuna media fulani fulani, usipokea, hata ukitokea kwenye media nyingine 100, its nothing compared, kama uko nae karibu, mshauri dogo aombe msamaha yaishe, asimtegemee sana yule godfadher wake, godfather ana life span yenye time limit as godfadher, wakati dogo is still very young, and he has a long way to go, hivyo kwa kuomba msamaha hata kwa neno moja tuu "I'm Sorry", he has everything to gain and nothing to loose, lakini kwa kuendeleza jeuri na kibri ya madaraka, hata kama ni kususwa na TV mbili na magazeti mawili, he still has everything to loose and nothing to gain!. Kutunishiana misuli na watu wengine is not good, japo hawana nguvu, ila wana the biggest impact!.

Hata hivyo, boycott hii haitadumu sana, tunachotaka sisi media ni yeye kutupigia tuu magoti na kutuomba msamaha, kuwa Nakupa na maneno ya kumpa kwa kutumia sentensi moja tuu!. " Mimi ni binadamu, sisi binadamu ni viumbe dhaifu, hivyo ule unaoitwa ni uvamizi wa Clouds media, japo kiukweli kabisa sio uvamizi, ila kwa vile unatafsiriwa kama uvamizi. I'm very sorry for that, tusameheane, tuendelelee".

Dogo ana kipaji sana na ana nyota kali inayo shine, mimi ni miongoni mwa tulioiona nyota hii ikingaa tangu akiwa DC na nikatoa ushauri huu
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Na sasa nafasi ninayomtarajia ni hii
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Paskali
 
Usiseme wameanza, sema baadhi ndio wameanza, mimi niko Saba Saba, nimemrekodi huyu Mhe kwenye program yangu, ambayo sio program ya bure ni ya kulipia na imelipiwa, amini usiamini, kipindi kilikataliwa mahali, ikanibidi nimnyofoe ndipo warushe kipindi changu!.

Kwenye media kuna media na media, kuna media fulani fulani, usipokea, hata ukitokea kwenye media nyingine 100, its nothing compared, kama uko nae karibu, mshauri dogo aombe msamaha yaishe, asimtegemee sana yule godfadher wake, godfather ana life span yenye time limit as godfadher, wakati dogo is still very young, and he has a long way to go, hivyo kwa kuomba msamaha hata kwa neno moja tuu "I'm Sorry", he has everything to gain and nothing to loose, lakini kwa kuendeleza jeuri na kibri ya madaraka, hata kama ni kususwa na TV mbili na magazeti mawili, he still has everything to loose and nothing to gain!. Kutunishiana misuli na watu wengine is not good, japo hawana nguvu, ila wana the biggest impact!.

Hata hivyo, boycott hii haitadumu sana, tunachotaka sisi media ni yeye kutupigia tuu magoti na kutuomba msamaha, kuwa Nakupa na maneno ya kumpa kwa kutumia sentensi moja tuu!. " Mimi ni binadamu, sisi binadamu ni viumbe dhaifu, hivyo ule unaoitwa ni uvamizi wa Clouds media, japo kiukweli kabisa sio uvamizi, ila kwa vile unatafsiriwa kama uvamizi. I'm very sorry for that, tusameheane, tuendelelee".

Paskali
Thanks Paschal for this advice! It is material one, hope jamaa ataufanyia kazi. Ni Bonge la ushauri kwa kiona mbali.
 
Hawa majamaa ni lini watamsamehe Mkuu wa Mkoa Paul Makonda sisi wana Dar es salaam time mic harakati za Mheshimiwa Makonda,musipo msamehe na sisi tuta goma kusikiliza vyombo vyenu vya habari
Umetolewa na
Kada mstaafu wa Ukawa
 
Wanabodi,

Nikiwa mwana wa tasnia ya habari, leo nimelisikia tangazo la Jukwaa la Wahariri TEF kuhamasisha media kususia habari za fulani. Swali ni who the hell is TEF na Jee Tanzania tuna independent media yenye jeuri ya kuweza kususia habari za mtu fulani? .

Jibu ni TEF sio media representatives ni Editors Forum, very unfortunately, hao editors are not media owners, hivyo ili zoezi hili lifanikiwe, lazima owners wa hizo media waridhie msimamo wa editors wao. Kwa hesabu za haraka haraka kwa kumfikiria who is behind Bashite, then who are the owners that can dare do that?.

Pili ni Jee Tanzania tuna independent media ambayo zina the capacity kususa hivyo zitakuwa capable kususa?. Ukiondoa media za The Nation, (Citizen na Mwananchi), na vyombo vya habari vya IPP Media ambayo ni notorious kwa kususa habari za kila anayetofautiana na Mwenyekiti wa IPP, pamoja na Moat ambayo ni puppet wa IPP Chair, Tanzania hatuna independent media zenye the capacity and the capability kususia habari za fulani!.

Japo nakiri tuna magazeti machache independent yenye jeuri hiyo ya kususia habari za fulani, ambapo hata mfalme akifanya makosa, yatasema loud and clear bila kumung'unya maneno kuwa Mfalme amekosea na jf ni one of them.

Only some few media zenye independent editorial policy, ndio zita implement hili la kususia kwa sababu wanayo jeuri hiyo ya kususa. Media nyingine zote zikiwemo media zote za umma, media zote za serikali, media za chama na media zenye njaa (ambazo ndizo nyingi zaidi), hazina jeuri hiyo ya kususia habari za fulani!.

Tusitegemee media kama TBC, RTD, Daily News, Habari Leo, Uhuru-Mzalendo, Radio Uhuru, Idara ya Habari Maelezo na mitandao ya kijamii, kususia.

Jambo kama hili limeishatokea huko nyuma baada ya kifo cha Daudi Mwangosi, kwa kuuliwa na polisi, ikaamuliwa habari za polisi zisuswe. Kususa huko kulidumu kwa siku moja tuu, na kesho yake walianza kugeukana.
Sababu ni hizi.
1. What is News?.
Kazi ya media zote ni kutoa kutoa habari, yaani kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha kwa lengo la kuihudumia jamii. Hivyo jukumu la media kuhabarisha jamii is a duty na sio favour, hivyo resiponsible media haiwezi kususa habari za fulani kwa sababu mlaji wa habari ni jamii, kususia habari za fulani sio kuwatendea haki jamii.

Katika kutekeleza kususa huko, ziko media zinafanya kazi ya media kama huduma (not for profit) hivyo zinahudumia jamii as a duty, hizi hazita susia habari yoyote muhimu kwa jamii.

Pia na ziko media zinafanya biashara ya media for survival ili kuishi, yaani ili kuuza gazeti, sasa kama huyo fulani ndio habari ya mujini inayouza gazeti, huwezi kuacha kumripoti sio tuu utalala njaa, bali utakuwa hujatimiza wajibu wako na kubwa zaidi ni kutoiendea haki jamii unayowajibika kwake. Hivyo hata leo, kesho na keshokutwa, mtashuhudia headlines zenye hilo jina.

2. Kwenye tasnia ya habari, kuna kitu kinaitwa "pressures shapping the news", hizi sio habari bali determinant factors zinazofanya habari fulani ama iandikwe ama isiandikwe, hivyo uamuzi habari ya fulani au isiandikwe huamuliwa na hizi pressures na sio TEF.

Moja ya factor kubwa kuliko zote ni "money matters"!. Survival ya vyombo vingi vya habari sio circulation, sio readership, sio viewership au audience bali ni matangazo!. Watangazaji wakubwa wanaitwa sponsors ndio waamuzi wakubwa wa what is news na media lazima ziwasikilize. Hawa sponsors are the ones who pays the piper hivyo calling the tune!, they are the gun holders who are calling the shots!. "He who pays the piper, may call the tune". Huko ndiko mshahara na fedha za uendeshaji wa media zinakotoka.

3. Big Names Make News, yaani jina kubwa linatengeneza habari kubwa. Sasa nyuma ya huyu anayesuswa kuna "jina kubwa lipitayo majina yote" (Not Jina Kubwa Lipitayo Majina Yote) ambalo ni jina la yule 'malaika mlinzi' wake, hivyo kama yeye ataamua kwenye kila tukio lake, ataambatana na 'mwanae mpendwa wake anayependezwa naye' na ndiye atakayekuwa Yohana Mbatizaji wake, ama akitangulia kuongea kabla yake ama akiongea kwa niaba yake kwenye kila tukio, nani atakuwa na jeuri ya kususa? au kumkwepa? ,atakuwa hakwepeki!.

4. Uandishi wa habari ni nobel professional yaani kazi ya wito, na kwa wengi ni kazi ya kuakuajiriwa, ni kazi ya kutumwa au kitumwa, wengi wa waandishi ni waajiriwa, ni watu wa kutumwa tuu, hivyo ni watumwa, kazi yao ni kutumwa!. Mtumwa hana uhuru wala ridhaa yake kuchagua atatumwa nini, jukumu lake ni kutekeleza tuu matakwa ya masters wake anayemtuma!.Hivyo mtumwa akitumwa na bosi, ana jeuri gani ya kususa?
Kumlaumu mtumwa ni kumuonea bure!. Mtumwa ni mtu wa kutumwa tuu kutekeleza, hivyo akitumwa kuripoti habari za fulani, yeye atatekeleza tuu.

Wengi wa waandishi ni watumwa tuu, hawafanyi kazi kwa utashi wao bali hufanya kwa utashi wa editor na editors ambao sio wamiliki wa vyombo vyao, nao pia ni watumwa tuu wa wamiliki, au waajiri wao, hivyo nao hawafanyi kazi kwa utashi wao bali utashi wa wamiliki "he who pays the piper may call the tune"!.

Taarifa zozote muhimu za msuswa sasa zinaweza zikaletwa kupitia ile Kurugenzi ya Mawasiliano, je nani watakuwa na jeuri ya kususia habari za kurugenzi ya mawasiliano?.

Huko nyuma tuliwahi kujadili hili kwenye mada hiiWaandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya

Hivyo waandishi wa habari waajiriwa, hawana jeuri ya kususia habari za mtu yoyote kwa sababu ni watumwa, huko kususa, ni hasira za uchungu wa kuvamiwa kwa Clouds media, hasira zikipoa, wataendelea kuandika habari za huyo msuswa.

Waandishi wenye jeuri ya kususia kuandika au kuripoti habari fulani ni ama sisi waandishi wa kujitegemea, au waandishi ambao ndio media owners kama kina Manyerere na Balile ambao wanamiliki gazeti.

Kwenye hii kada ya waandishi wa kujitegemea, tuko wa aina mbili, aina ya kwanza ni "freelance journalist", hawa wanaandika na kuitegemea hiyo habari ndio imlipe, newsroom nyingi zinalipa 3,000, 5,000 kwa habari moja itakayotoka, na labda 10,000 kama habari itakuwa ndio lead story!, huyu mwandishi akifanikiwa ku file story 1 tuu kwa siku na ikatoka, mwisho wa mwezi atavuta 90,000 tuu!. Waandishi wa kada hii ndio hutegemea "bahasha" to survive!.

Kada ya pili ni "independent journalists", kada hii ndiko mimi niliko, inahusisha kuandika watu wanaoandika habari au makala just for the love of it, wengi wa kada hii tunazo shughuli zetu nyingine za kufanya kuendesha maisha yetu and to make our living, hivyo hatutegemei malipo yoyote kwa stories tunazotuma, mfano mimi silipwi hata senti tano kwa stories ninazofile kwenye media. Kundi hili ndio kundi kama la kina Mjengwa, Mzee Mwanakijiji etc, etc, enzi zile Mwanakijiji akitoa kile kijarida cha Cheche, alikitoa bure nasi tulikitawanya bure!. Kwa sasa Mjengwa, Mwanakijiji na wengine, ni waandishi wa makala mbalimbali kwenye magazeti mbalimbali. Kwa kawaida magazeti yanapaswa kuwalipa, sidhani kama wanaandika ili kujipatia hivyo vijisenti na I doubt hata kama wanachukua!. Kundi hili ndilo hatutumwi na mtu na hatumtumikii mtu zaidi ya jamii!. Sisi ndio wenye jeuri ya kususa.

Ila watu kama mimi kama Paskali, ni mwandishi wa kujitegemea, sijaajiriwa na yoyote, wala situmwi na yoyote, na siitegemei media yoyote kutumia habari zangu kwa sababu mwamuzi ni mimi ndio ninaamua habari gani niandike na media ipi nipeleke, kama ni gazeti, huamua gazeti gani nipeleke, au kama ni kwenye TV na redio, mimi mwenyewe ndio huamua pa kuipeleka!, hivyo nikiamua kugoma, naweza kugoma kiukweli kweli!, hivyo waandishi wenye uwezo wa kususia habari zozote ni wale tuu ambao sio "watumwa" yaani wale waandishi wanaojitegemea na sio hawa "watumwa" wanaotegemea vyombo vya habari!.

Bado naendelea kulia humu jukwaani jf, tuna tatizo kubwa la kuukubali ukweli halisi "is" na kuukumbatia ukweli tunaoutaka "ought". Mimi ni mtu wa mkweli wa ukweli halisi "is" na sio so "ought" ambao ndio ule ukweli ambao wengi wanaupenda kuusikia, yaani ukweli wa kujifurahishia.

Kususia kifo cha Daudi Mwangosi kulidumu kwa siku moja tuu ya uchungu ule, hivyo amini msiamini kesho Bashite akiitisha Press Conference, hamtaamini macho yenu.

Let's hope for the best ya hiki kisuso this time, sijui kitadumu kwa muda gani na ni media zipi bold enough kususa!.

Mwisho.
Media ni noble profession,hizi ni kazi za wito kama ualimu na udakitari, pia ni kazi za huduma kwa jamii, kama kazi za kampuni ya simu, posta, umeme, maji na udaktari,hospitalini etc, watumishi wa kada hizi kwa mujibu wa mikataba yao, hawaruhusiwi kugoma!, jee sisi waandishi wa habari na vyombo vya habari, tunaruhusiwa kugoma?, tukimgomea Daudi Bashite, jee tunawatendea haki wananchi na jamii tunayoihudumia?. Tukimgomea, tunamkomoa nani?, yeye anayependa kuonekana, au wananchi wanaopaswa kupata habari?, na habari zake zisipotoka kabisa, nani anaathirika kwa kutokuwepo kwa habari zake?, lets be objective kwenye hili!.

Hongera JF nilinote hili jina la Bashite limefutwa.
Paskali.
Nilimsikia paskal kwenye maonyesho ya sabasaba anavisema vyombo vya habari vilivyomsusuia makonda. Eti anasema vyombo vyote vya habari vilivyomsusia makonda(msukuma mwenzake) haviendeshwi kwa weledi. kweli Mayalla ni njaa.
Mkuu Kivava, nisome kwanzo hapo kama bado hujaelewa, nitarejea kukuelewesha.

Paskali
 
Nawapongeza kwa kazi nzuri mnazoendelea kuzifanya ikiwa ni pamoja na kuwatetea wanahabari.
Nawapongeza pia kwa tamko lenu la kuikemea chadema baada ya kuwafukuza waandishi wa habari wa tbc mmeonyesha ukomavu na kutokuwa na double standards.

Swali ni hatua gani mmezichukua kwa vyombo vya habari vya sahara media; channel ten na tbc kwa kuendelea kurusha habari za mkuu wa mkoa qa dar es salaam. Kwa pamoja mlilidhia huyu mkuu wa mkoa kususiwa lakini vyombo hivi vimeonekana kutojari na kwenda kinyume na tamko lenu???
 
Back
Top Bottom