Elections 2010 Media itakayofanya Coverage ya uchaguzi Igunga Live!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
690
Wadau
naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo.

nasikia kule kuna utitiri wa waandishi wa habari mpaka wa social media wapo

hivi JF imewakilishwa na nani

napendekeza JF adm wahakikishe tunatumia post moja kupata kinachoendelea na matokeo ambayo hawajawa verified wayaminye kwanza

Nawasilisha
 
katika moj ya thread za leo kutoka kwa mdau wa star tv na RFA ya mwanza kasema hivi:

"Ila patakuwa na Updates on every top of the hour, Timu ya uhakika ipo Igunga kuwafahamisha watanzania. So msikose kutazama Star TV hapo kesho kwa update za Igunga mpaka saa sita Usiku."
yahya mohamed star tv

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom