Media imehama

anjo

JF-Expert Member
Jun 13, 2009
299
97
Pamoja na kwamba ni tumefurahi kuwa Rais amerudi salama; nimeona si busara kuhamia uwanja wa ndege bila kujali kinachoendelea Dodoma.
 
jana umeme wamekata, leo tumelazishwa kusikiliza habari ugonjwa. kisa tusijue kinachoendelea bungeni
 
Hivi ni kweli kuwa issue muhimu kwa mustakabali wa taifa sahivi ni rais kuzumngumzia storia ya ugonjwa wake?
 
Back
Top Bottom