Media gani nzuri ya kufanya nayo kazi bongo?

leseiyo

Senior Member
Oct 25, 2007
116
3
Bongo kuna magazeti mengi sana hadi idadi haieleweki.Hivi mnaweza kunisaidia ni media gani atleast yenye kuzingatia taaluma ya kufanya nayo kazi?.Based on balance, truth,objecticity,fair, free profession practice etc.
 
Back
Top Bottom