Medard Kalemani, mbunge pekee anayepiga kazi kwa kasi ya hatari!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,700
45,026
Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote.

Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe kuwa Mbunge wa jimbo hilo, na tayari ndani ya miaka miwili hiyo ameweza kujenga;
Uwanja wa ndege wa Kimataifa
Jengo la TRA
Duka la dawa la MSD
na sasa anaenda kujenga Hospitalibya Rufaa jimboni kwake.

Tunampongeza kwa kasi yake nzuri ya maendeleo, wabunge wengine muige!
Hakika Chato sasa imeamka baada ya kusahauliwa kwa kipindi kirefu!

Hongera Mh. Kalemani!
 
Usichojua ni kua Chato ina Wabunge wawili kwa sasa, mmoja anahudumu direct na Mwengine ambae ndie ana nguvu zaidi anahudumu indirectly
 
Huo ni uchochezi utakuwa na hamu yaupimwa mkojo
 
Usichojua ni kua Chato ina Wabunge wawili kwa sasa, mmoja anahudumu direct na Mwengine ambae ndie ana nguvu zaidi anahudumu indirectly
Wapo wa Watatu umesahau yule muidhinisha pesa wa hazina Bwana Doto James aka mtoto wa Dada.

Hakika Chato imebarikiwa.

Yana heri matumbo yaliyowazaa hawa majembe wa Chato.
Kalemani
Magufuli na
Doto James

Jamani wana Chato Mungu awape nini tena? Gunia la Chawa?

Karibuni ujenzi wa uwanja wa kisasa wa soka wa Chato utajengwa. Pigia mstari maneno yangu!
 
Kweli Mkuu,
Yaani Kwa hivyo vichwa soon Chato itageuka kama Posta, Dar es Salaam
 
Kwa hayo machache yaliyofanyika Chato ni hitaji la msingi kwa majimbo au wilaya nuingi hapa mchini.

Kila mbunge aliktaka hayo yafanyike kwake,serikali inao uwezo huo? Nasema serikali maana hayo hayajafanywa na mbunge bali serikali.

Mengine ngoja niwaachie wanasiasa
 
Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote.

Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe kuwa Mbunge wa jimbo hilo, na tayari ndani ya miaka miwili hiyo ameweza kujenga;
Uwanja wa ndege wa Kimataifa
Jengo la TRA
Duka la dawa la MSD
na sasa anaenda kujenga Hospitalibya Rufaa jimboni kwake.

Tunampongeza kwa kasi yake nzuri ya maendeleo, wabunge wengine muige!
Hakika Chato sasa imeamka baada ya kusahauliwa kwa kipindi kirefu!

Hongera Mh. Kalemani!
Usidanganye watu mpuuzi wewe, barabara ya kikumbaitare tu imemshinda tangu awe mbunge, amewatekeza akin mzee Papasi mpaka leo wameishia kua waganga wa kienyeji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom