Medard Kalemani, mbunge pekee anayepiga kazi kwa kasi ya hatari!

Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote.

Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe kuwa Mbunge wa jimbo hilo, na tayari ndani ya miaka miwili hiyo ameweza kujenga;
Uwanja wa ndege wa Kimataifa
Jengo la TRA
Duka la dawa la MSD
na sasa anaenda kujenga Hospitalibya Rufaa jimboni kwake.

Tunampongeza kwa kasi yake nzuri ya maendeleo, wabunge wengine muige!
Hakika Chato sasa imeamka baada ya kusahauliwa kwa kipindi kirefu!

Hongera Mh. Kalemani!
Chato ndiyo jumbo pekee duniani lenye wabunge wawili.
 
Anayo sifa nyingine ya kuhusika kung'oa camera za CCTV kwenye eneo aliloshambuliwa Lissu ili kuokoa jahazi
 
Usidanganye watu mpuuzi wewe, barabara ya kikumbaitare tu imemshinda tangu awe mbunge, amewatekeza akin mzee Papasi mpaka leo wameishia kua waganga wa kienyeji.
Mbona povu mkuu, unatakiwe uwe umekula kwanza ili ubongo wako uweze kujua nimeandika kitu gani.
 
Chato ina soko la dhahabu
Chato ina bandari
Chato ina hifadhi ya taifa
Chato ina jengo jipya la mahakama
Chato ina International airport
Chato ina....
Mbunge wa Ikulu hongera sana
 
Afu leo kuna watu wanahoji wabunge wa upinzani wamefanya nini huko majimboni.

Kama aliyekuwepo hapo chato miaka takriban 20 hakuweza haya yote lakini sasa ndiyo yanafanyika.

Tujue kuwa serikali ndiyo yenye kuleta hizi mambo.

Hongera sana Bwana Medard kalemani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote.

Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe kuwa Mbunge wa jimbo hilo, na tayari ndani ya miaka miwili hiyo ameweza kujenga;
Uwanja wa ndege wa Kimataifa
Jengo la TRA
Duka la dawa la MSD
na sasa anaenda kujenga Hospitalibya Rufaa jimboni kwake.

Tunampongeza kwa kasi yake nzuri ya maendeleo, wabunge wengine muige!
Hakika Chato sasa imeamka baada ya kusahauliwa kwa kipindi kirefu!

Hongera Mh. Kalemani!
Kuna mtu atakuja kubisha!
 
Umesahau...

Ameshakamilisha pia Ujenzi wa Mradi wa Maji wa bilioni 8..

Amekamilisha Ujenzi wa Bandari ya Nyamirembe..

Atajenga Uwanja wa Mpira ambao ni wa pili kwa Ukubwa nchini na wa kwanza kwa Ubora Afrika Mashariki

Amezalisha hifadhi ya Taifa ya Wanyama ya Rubondo..

Anajenga Viwanda vikubwa vya kusindika Minofu ya Samaki na Amejenga Soko la KiMataifa Chato

Nasikia Kuna mpango pia Kujenga Chuo Kikuu cha Dsm Campus ya Chato na Mzumbe Campus ya Chato, na pia Benki Kuu Tawi la Chato...

Tutajua Hatujui
 
Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote.

Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe kuwa Mbunge wa jimbo hilo, na tayari ndani ya miaka miwili hiyo ameweza kujenga;
Uwanja wa ndege wa Kimataifa
Jengo la TRA
Duka la dawa la MSD
na sasa anaenda kujenga Hospitalibya Rufaa jimboni kwake.

Tunampongeza kwa kasi yake nzuri ya maendeleo, wabunge wengine muige!
Hakika Chato sasa imeamka baada ya kusahauliwa kwa kipindi kirefu!

Hongera Mh. Kalemani!
Qwihaya ni lugha ya wapi hii? Tuambiane na ikibidi paka POMMY atupe nae zake. Alamsiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom