Mechi za nje nacheza, kwa wife jogoo hawiki

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,052
What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?
 
Inawezekana ni tatizo la kisaikolojia, unampenda mkeo lakini hakuvutii tena kimapenzi! Mtengenezee mazingira ya yeye kuwa katika hali ambayo unavutiwa naye ili ujisikie raha kuwa naye na kushiriki mambo yote kwa furaha kama wanandoa.
By the way kuna kitu chochote ambacho haukipendi anachokifanya mkeo? Au tabia fulani au kujiweka ktk hali fulani? if so, vunja ukimya na urekebishe hiyo hali.
Nalazimika kuamini kuwa nje ulienda kujaribu mara moja kujiona kama unaweza na unajutia hiko kitendo na pengine hautarudia tena, lol!
 
ukome na videmu vyako vya mtaani. Ushatengenezwa hapo haha ha just a joke.
This is just psychological, inawezekana huyo demu wako wa mtaani labda ni mzuri sana kuliko mkeo, na ukiwa naye unasisimka zaidi kuliko ukirudi kwa wife. Sasa ukiwa na wife unaona kama hakuvutii na wala hupati msisimko wa ku- do naye. Hilo ni jambo la kawaida sana kwa walio wengi hasa inpotokea yupo na mwanamke asiyemvutia.
 
Inawezekana ni tatizo la kisaikolojia, unampenda mkeo lakini hakuvutii tena kimapenzi! Mtengenezee mazingira ya yeye kuwa katika hali ambayo unavutiwa naye ili ujisikie raha kuwa naye na kushiriki mambo yote kwa furaha kama wanandoa.
By the way kuna kitu chochote ambacho haukipendi anachokifanya mkeo? Au tabia fulani au kujiweka ktk hali fulani? if so, vunja ukimya na urekebishe hiyo hali.
Nalazimika kuamini kuwa nje ulienda kujaribu mara moja kujiona kama unaweza na unajutia hiko kitendo na pengine hautarudia tena, lol!

Kumbe wenye Matatizo kama lile Zombiii langu wengi kwelii!!!!!!! Mbona huyu hamumuwashiii moto kwa cheatting zake? Au kuna upendeleo humu jamvini.
 
Babu wewe ukweli ni kuwa Ukishonja nyama ya kuku wa kienyeji, ukaujua utamu wake, hata ujifosi vipi kwenye maharage lazima ule kidogo tu tena kwa hamu, hapo kwenyewe unaonja tu!!!!!!!!!

Ulitakiwa ukomae na maharage yako hadi mwisho!!!!!! Kiranga cha kuonja onja kuku za watu ndo kimekuponza! Fanya yote ila ladha ya kuku ishakuingia hadi kwenye mifupa!

Samahani Lakini Mambo ya Walimwengu!!!!!!!!!!!!!
 
Kumbe wenye Matatizo kama lile Zombiii langu wengi kwelii!!!!!!! Mbona huyu hamumuwashiii moto kwa cheatting zake? Au kuna upendeleo humu jamvini.

Hakuna upendeleo, ndiyo maana nilisema 'nalazimika kuamini' nikimaanisha hilo ndiyo neno lake pekee la kujitetea kwenye kisanga chake!!!
 
What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?

umejaribu kubadili kiwanja......? hebu mpeleke mkeo kiwanja unachocheza na nyumba ndogo......
(
ningekuwa na uwezo ningechinja wanaume wote huku duniani)
 
Hee! Umpeleke polisi maskani!? We Preta wewe!!!

sasa je.....kwani maskani ni moja....we vipi....mkivamiwa maskani nadhani wewe ndio huwa unakutwa......jaribu kubadili jombaaaa.....utanata ujue.... marejesho usisome hapa.....
 
Last edited by a moderator:
Ushawekewa password na mume mwenzio weyeeeee!!! Kimbia Muhoro-Rufiji fasta wakakutengeneze.
 
msimtie moyo, huyu kiranja mkuu.............. yaani ukweli kwamba kuna kitambaa cha shughuli kimefishwa mahali kila siku kinawashiwa mshumaa na kuzimwa.......... manina wallah!............. sasa hapo usipokomaa mkeo nae akianza kuzunguka utakuwa kweishney.........

haya ndo matokeo ya umalaya na utakoma mwaka huu.......kidogo utashangaa mchumba wa huyo demu anakupiga kitu ngoma limoto.........iyo usiku na mchana hailali unakazi ya kuumia tu........hahahaahaha! sasa jiulize uko susceptible kwa kulogwa na wangapi?? kisa uchi tu??
 
What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?
mwenzio niliyeyusha engagement ring ikawa hereni sitaki tena kuzisikia kazi za nje mimi, pole sana!
 
BADO KUNATANA TU NDIO UNAVYOTAKA! kwa nini hutulii na mkeo?wajitafutia madhambi tu.....wala sijapenda!
What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom